.......Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sabasaba ulitisha.......
Tafsiri yake moja tu,kuwa amani ya nchi hakuna kama zamani,hata enzi za vita vya Kagera Mwlm Nyerere hakuwa na ulinzi huo kama tuko Somali Land ama Kabul,achilia mbali enzi za Mkapa,Mwinyi na Kikwete!!
............Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo........
Tulihubiriwa sana kuwa uvunaji wa gesi Mtwara ndio suluhu ya umeme wa uhakika,tutauza mpaka nje!!! Leo tunahangaika Uganda na Ethiopia kupata UMEME!!!