Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Hivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?

Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....

But what do I know....
Kuna kitengo ndani ya TISS kinachoitwa PSU chenye jukumu la ulinzi wa viongozi wa Rais (wa Muungano na wa Zanzibar), Makamu wa Rais (wa Muungano na Zanzibar) na Waziri Mkuu+Waziri Kiongozi, na ulinzi wa wakurugenzi wa TISS + ulinzi wa vital installations. Kwa mfano wa huko Marekani, PSU ni kama na US Secret Service (japo muundo na baadhi ya majukumu ni tofauti). I hope this helps!
 
Enzi za kikwete mlisema hamjawahi ona ulinzi kama huo leo tena mnasema hamjaona ulinzi kama huu...duh! wabongo hatari....enzi za mwalimu tulikuwa tunajidanganya kwamba Tz ni ya pili kwa upelelezi duniani
 

That's beside the point.

Ulizungumzia TISS kuweza kuudhibiti mdomo wa Magu.

Ndo nami nikakupa mfano wa jinsi gani ilivyo vigumu kuudhibiti mdomo wa mtu aliye rogue na kutolea mfano wa Trump.

Kwa jinsi Trump alivyo mtu huwezi kujua kesho ukiamka utakuta ka tweet kitu gani.

Sitashangaa siku moja akija ku tweet masuala ya kijeshi yanayoweza kuhatarisha usalama wa vikosi vya Marekani somewhere.

Ndo nikasema, ili kuonyesha ilivyo vigumu kuudhibiti mdomo wa mtu, kama secret service wameshindwa kabisa hadi kufikia sasa kumdhibiti Trump ambaye ndiye kiongozi wa taifa kubwa, hao TISS wana ubavu gani wa kuudhibiti mdomo wa Magu?

Tena, nadhani ni rahisi zaidi kudhibiti matumizi ya Twitter kwa Trump kuliko TISS kuudhibiti mdomo wa Magu.

Wataanzia wapi? Watambana na staples ashindwe kabisa kuongea au?
 
Enzi za kikwete mlisema hamjawahi ona ulinzi kama huo leo tena mnasema hamjaona ulinzi kama huu...duh! wabongo hatari....enzi za mwalimu tulikuwa tunajidanganya kwamba Tz ni ya pili kwa upelelezi duniani

Right on the money.

Wabongo kwa stori za kijiweni hatujambo.
 
Kwa kuongezea, hata ulinzi na mikakati ya kiulinzi ktk mbio za Mwenge wa uhuru, uratibiwa na Usalama na vijana lazima wawepo wengi sana.
 

Umekosea.

Kama unataka kulinganisha na Marekani basi TISS itakuwa sawa na US Secret Service.

Na kama ndani ya TISS ndo kuna hiyo PSU, na kwenye Secret Service kuna PPD [Presidential Protection Division].

Kumbuka kuwa US Secret Service ina dual mission.

1. Kuchunguza uhalifu wa kifedha na 2. Ulinzi wa viongozi.

Kwa hiyo, kama unataka kulinganisha basi linganisha hao PSU na PPD [ya US Secret Service] ambao ndiyo wenye jukumu la ulinzi wa rais na viongozi wengine.

Siyo PSU na SS.
 
Sisi walei wa mambo hayo ya kiusalama hutujui what is happening behind the curtens. Tunaishia kuropoka tu. Vyomba vya ulinzi vipo kazini. Matunda yanaonekana. Amani inarejea. Sasa wewe ulitaka iweje? Tuwaombee vijana wetu wa TISS.
Kwani hiyo amani ilipotea tangia lini!? Na je, kipindi hiyo amani inapotea hao TISS walikuwa wapi!?
 
Reactions: Pep
Kwa kweli kwa sasa hata ukiwa na suala lako unakuwa na matumaini ya kupata muafaka. Nchi iko on respect manner
 
Hao Tiss Mbona Kibiti Walirshndwa?Au Kaz Yao Ni Kumlinda Boss Mkuu?
 
Reactions: Pep
Nadhani TISS na walinzi wa rais ni vitu viwili tofauti lakini wanafanya Kazi kwa kutegemeana
 
Naomba kujua kilichokusukuma na kuona TISS wapo vizuri kuliko wakati mwingine wowote katika kuhakikisha ulinzi wa Commander in Chief.
NB. Sijasema hawapo vizuri bali nimeuliza kigezo ulichotumia kuona ubora WAO saaa.
 
Reactions: Pep
Mbona hayo manenoniliyowekea alama nyekundu hayaendani na ya alama ya blue
 
Reactions: Pep
Huwezi kushughulikia maslahi ya taifa ipasavyo halafu ukaachwa salama,acha ajilinde.
 

Unajitekenya na kucheka mwenyewe ! Siku hizi viongozi hawapigwi risasi hayo ni mawazo na mbinu za kizamani za kulinda viongozi. Ulinzi mkali na wa uhakika sio kubeba silaha Bali ni kutenda haki! Unamkumbuka marehemu Muamar Ghadafi alilindwa na akina dada wakatili but when time came alifia kwenye water drainage no body guard was around to protect him ? Heavy armour ya nini si presida alipata ushindi halali and Tanzanians wanampenda according to Twaweza na wanamwombea? He is doing a wonderful job! Yule half brother wa Dictator wa North Korea there was no bullet but the two beautiful girls! We should agree on a set of rules before the game and never change the rules when the game is on. Impunity has never paid anybody who ruled by tyranny ! Walinzi wengi it's a sign of cowardice but we are still relatively peaceful huwa tunabadilishana viongozi after every 10 years you cops take it cool just hide your guns hatukuzoea! Nobody dares to harm our president noway come sun come rain tunataka viwanda na umeme wa maji kutoka Rufiji bila kusahau SGR vyote kabla ya 2020!
 
Ulinzi unapokuwa wa kutisha inamaanisha uhalali wa kutawala uko rehani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…