Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

UBORA wa KITENGO chochote au IDARA ni KUGUNDUA na kuzuia TATIZO lisitokee kwa maoni au mtazamo wangu WAKENYA wako juu kuliko hata WATANZANIA ref:MATUKIO yanayoendelea KIBITI mpaka leo SERIKALI hawajagundua chanzo chake
 
Sisi walei wa mambo hayo ya kiusalama hutujui what is happening behind the curtens. Tunaishia kuropoka tu. Vyomba vya ulinzi vipo kazini. Matunda yanaonekana. Amani inarejea. Sasa wewe ulitaka iweje? Tuwaombee vijana wetu wa TISS.
Why Ilipotea?
 
Likipita hilo awamu ijayo tutaambiwa mradi wa kufua umeme kutumia matakataka ndio mpango mzima. watu wako kazini kutengeneza pesa. hiyo gas ndiyo the cheapest lkn si ishauzwa na wajanja waliopita. mikataba haitolewa watatoa kick zote zikionekana haziwashi
 
Do you have personal problems with presidaa?
 
wamefanya nini mkuu, watusaidie na kule kibiti hapo ndio nitawapongeza. askari wwetu wanaishaaa
 
Hivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?

Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....

But what do I know....
Ndani ya TISS kuna kitengo cha ulinzi wa Rais,presidential services unit,PSU hawa wanakazi ya kulinda viongozi wa kitaifa na nyumba zao,na uniform zao ni kama zile zilizoonekana jana,ingawa wakati mwingine sio lazima wavae sare
 
Reactions: SDG
Hivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?

Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....

But what do I know....
Tiss wapo madaktari, mainjinia, walinzi, madereva na mashushushu. Ni vitengo tu.
 
Reactions: SDG
UBORA wa KITENGO chochote au IDARA ni KUGUNDUA na kuzuia TATIZO lisitokee kwa maoni au mtazamo wangu WAKENYA wako juu kuliko hata WATANZANIA ref:MATUKIO yanayoendelea KIBITI mpaka leo SERIKALI hawajagundua chanzo chake
Vip hao wakenya kuhusu shambulio la Westgate?Au intelligency yao haikuwepo
 
Kadri ulinzi wa mkuu wa kaya unavyozidi kuwa mkubwa unatakiwa ujiulize kulikoni???

Viongozi wote wanaopendwa duniani huwa hawahitaji ulinzi mkubwa.
 
Reactions: SDG
Asante sana, ntakutafuta nikuunganishe na Idara hii, wengine kila siku kutulaumu humu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…