Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA.
Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema kuwa kwenye hii Vita Urus watatoka kidedea.
Leo hii tumeshuhudia kuwa Urusi kaibuka mshindi kwani USA kaiunga mkono Urus kwa kuialika kwenye mkutano wa G 20 Jambo ambalo mataifa ya ulaya hawakutegemea kabisa.
Niseme tu kuwa dunia hii hakuna USA bila Urusi.
Iran anapeta dhidi ya Trump .