Hongera sana wakili msomi Mwabukusi

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali aliyoulizwa kwa kujibu maswali yote kwa ufasaha. Naona upepo umebadilika licha ya kupigwa vita Wakili Mwabukusi. Wanachama wa TLS huu ndiyo wakati wa kutoa uamuzi wa kumchagua mtu ambaye ana msimamo na haogopi.
 
Sijui kama watampa, system itapambana ashindwe....sijui uchaguzi unafanyikaje na mfumo ni upi ila bado fitina inaweza kuwa kubwa sana maana yeye directly anaonekana yuko kinyume kabisa na serikali,ile maana ya serikali ina mkono mrefu inaweza kutumika uchaguzi huu
 
Tukumbuke Tundu Lissu alishinda japo alikuwa totally upinzani.
 
L
Lisu alishinda vipi mbele ya Magufuri
 
Kwa takwimu za sasa Mawakili Wengi ni CCM πŸ˜€
Bwashee Mimi ni wakili ati napiga kura
Waarabu wa pemba tunajuana kwa vilemba

Tutampa wakili Mwambukusi

Mbona kama vile unaumia kwani

mwambukusi si ni mtanzania mzalendo mwenzetu??

Mchuano pale Mbeya mjini utakuwa mkali 2025

Kule tulia raisi wa pdu na spika

Huku mwambukusi raisi wa TLS na wakili msomi mzalendo
 
Ngoja tuone πŸ˜‚

Mwabukusi ni mwenzetu hapa Jf
 
Ukweli jamaa yupo vizuri na siyo chawa
 
Binafsi kabla ya mdahalo wa jana niliamini kabisa Mwabukusi ndie mwamba lakini baada ya kuwasikiliza wote kwa pamoja nikaona kuna mwingine aliingia akili mwangu (Sweetbert) kwa jinsi alivyokua akijieleza na kujibu maswali japo kuna tofauti ya kujua kujieleza na utendaji kazi maana wengine kujieleza ni kipaji chao..
 
Watanzania wapole na wakarimu, ila wanapenda watu wakorofi, self oriented people ndio maana CCM inawafuasi wengi, ndio maana mwabukusi anaonekana lulu.
Ila ikumbukwe, TLS Hapigi kura mtu asiye wakili. Wanapiga watu wanaotaka chama kiende kwa niaba ya mawakili, sio wanaotekwa au kunyimwa chakula msichanganye hapa. Pointi kubwa ni uhuru wa wakili , maisha bora, na heshima.
Nkuba very smart, kwa chama cha TLS,
Mwabukusi is there to challenge the government which it's not right. Ajue dhamana ni kwaajili ya mawakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…