Madelu huyo tulishamuondoa kwenye viongozi wanaojitambua kitambo.Clip hii nimeiona Jana kwenye WhatsApp group. Ndipo unajua kuwa njaa Ni mwanamalegeza. Jamaa limekula Uturn kishenzi kwa sababu ya kacheo , lkn nadhani watu wa Singida Wana kasoro kubwa (siyo wote) Ila naona wao wamezidi......Madelu ndiyo kinyaa
Hilo liko wazi sana ndiyo maana kuna wakati kiongozi wa malaika aliwahi kuomba malaika washuke waje waifunge mitandao.Kosa alilolifanya ni moja tu...kukubali kuwa mmojawao. Ukiingia CCM akili unazivua mlangoni kwani ndani mle huruhusiwi kuingia na akili zako timamu. Mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga, hivyo ujinga wako tayari kuulinda hata kwa mtutu wa bunduki...
" .... ilikuwa ni kwa manufaa yao CCM kuona jambo hili la katiba mpya linafanikiwa, likishindwa ni at their own peril."Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu.
1.serikali ya mababvu.
2.teknolojia....
Inasikitisha kwa sasa ukisikia baadhi ya hotuba zake huwezi kuamini kama ni yule yule au ni pacha wake." .... ilikuwa ni kwa manufaa yao CCM kuona jambo hili la katiba mpya linafanikiwa, likishindwa ni at their own peril."
Hapo alikuwa Profesa Kitila Mkumbo mwenye akili zake.
Kwa sasa wanajitia sana maamuzi yaoKwiiisha habari zao na watazidi kusahaulika.
Badala yake Gabriel akaja kumbeba yeye mwenyewe.Hilo liko wazi sana ndiyo maana kuna wakati kiongozi wa malaika aliwahi kuomba malaika washuke waje waifunge mitandao.
Hilo ombi halikutoka kwa bahati mbaya bali jamaa alikuwa anamaanisha hivyo kuwa mitandao ni moja ya maadui wa ccm.
Inasikitisha kwa sasa ukisikia baadhi ya hotuba zake huwezi kuamini kama ni yule yule au ni pacha wake.
Kuna side effect ya mitandao ambayo mnakataa kuisema ambayo ni upotoshaji. Baadhi ya watu wanaitumia kupotosha. Nadhani CCM yawezekana matamshi yale yalilenga side effect hii.Hilo ombi halikutoka kwa bahati mbaya bali jamaa alikuwa anamaanisha hivyo kuwa mitandao ni moja ya maadui wa ccm.
Uchumi wa kat huu ni hatar nafuu ya UVIKO-19, akiikosoa serikal tumbo litachumiwaje??Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu.
1.serikali ya mababvu.
2.teknolojia.
3.mungu.
Hapa chini ni Kitila Mkumbo akitema madini ya dhahabu kipindi akiwa bado ni mwana harakati na mkosoaji mkubwa wa serikali ya ccm.
Leo hii ameteuliwa kuwa waziri ndani ya serikali ya ccm aliyokuwa anaikosoa imebidi ameze maneno yake.
Hakika nimeamini maneno ya wazaramo ya ZILONGWA MBALI NA ZITENDWA MBALI.
View attachment 1884822