Hongera sana Waziri Kitila Mkumbo juu ya Katiba Mpya

Hongera sana Waziri Kitila Mkumbo juu ya Katiba Mpya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu.

1. Serikali ya mababvu.
2. Teknolojia.
3. Mungu.

Hapa chini ni Kitila Mkumbo akitema madini ya dhahabu kipindi akiwa bado ni mwana harakati na mkosoaji mkubwa wa serikali ya CCM.

Leo hii ameteuliwa kuwa waziri ndani ya serikali ya ccm aliyokuwa anaikosoa imebidi ameze maneno yake.

Hakika nimeamini maneno ya wazaramo ya ZILONGWA MBALI NA ZITENDWA MBALI.

Clip hii nimeiona Jana kwenye WhatsApp group. Ndipo unajua kuwa njaa Ni mwanamalegeza. Jamaa limekula Uturn kishenzi kwa sababu ya kacheo , lkn nadhani watu wa Singida Wana kasoro kubwa (siyo wote) Ila naona wao wamezidi......Madelu ndiyo kinyaa
Madelu huyo tulishamuondoa kwenye viongozi wanaojitambua kitambo.

Hasa kipindi kile aliposema vile viroba vilivyo okotwa ruvu ni matokeo ya wahamiaji haramu.
 
Kosa alilolifanya ni moja tu...kukubali kuwa mmojawao. Ukiingia CCM akili unazivua mlangoni kwani ndani mle huruhusiwi kuingia na akili zako timamu. Mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga, hivyo ujinga wako tayari kuulinda kwa gharama yoyote ile hata kwa mtutu wa bunduki.

Kwa sasa mfano wa wazi ni mitandao. CCM wanaiogopa mitandao kama ukoma kwani ina hatari ya kuelimisha jamii na hivyo kupunguza thamani ya mtaji wanaoutegemea ili waendelee kubaki madarakani. Wanajua fika kwamba umma wa Watanzania ukizinduka CCM bye bye!
 
Kosa alilolifanya ni moja tu...kukubali kuwa mmojawao. Ukiingia CCM akili unazivua mlangoni kwani ndani mle huruhusiwi kuingia na akili zako timamu. Mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga, hivyo ujinga wako tayari kuulinda hata kwa mtutu wa bunduki...
Hilo liko wazi sana ndiyo maana kuna wakati kiongozi wa malaika aliwahi kuomba malaika washuke waje waifunge mitandao.

Hilo ombi halikutoka kwa bahati mbaya bali jamaa alikuwa anamaanisha hivyo kuwa mitandao ni moja ya maadui wa ccm.
 
Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu.

1.serikali ya mababvu.
2.teknolojia....
" .... ilikuwa ni kwa manufaa yao CCM kuona jambo hili la katiba mpya linafanikiwa, likishindwa ni at their own peril."

Hapo alikuwa Profesa Kitila Mkumbo mwenye akili zake.
 
Njaa ni mbaya nni na inadhalilisha hasa ukiitanguliza, waangalie kina mdee walivyojidhalilisha hata hawana thamani tena ktk jamii
 
" .... ilikuwa ni kwa manufaa yao CCM kuona jambo hili la katiba mpya linafanikiwa, likishindwa ni at their own peril."

Hapo alikuwa Profesa Kitila Mkumbo mwenye akili zake.
Inasikitisha kwa sasa ukisikia baadhi ya hotuba zake huwezi kuamini kama ni yule yule au ni pacha wake.
 
Njaa ni mbaya nni na inadhalilisha hasa ukiitanguliza, waangalie kina mdee walivyojidhalilisha hata hawana thamani tena ktk jamii
Kwiiisha habari zao na watazidi kusahaulika.
 
Hilo liko wazi sana ndiyo maana kuna wakati kiongozi wa malaika aliwahi kuomba malaika washuke waje waifunge mitandao.

Hilo ombi halikutoka kwa bahati mbaya bali jamaa alikuwa anamaanisha hivyo kuwa mitandao ni moja ya maadui wa ccm.
Badala yake Gabriel akaja kumbeba yeye mwenyewe.
 
Hilo ombi halikutoka kwa bahati mbaya bali jamaa alikuwa anamaanisha hivyo kuwa mitandao ni moja ya maadui wa ccm.
Kuna side effect ya mitandao ambayo mnakataa kuisema ambayo ni upotoshaji. Baadhi ya watu wanaitumia kupotosha. Nadhani CCM yawezekana matamshi yale yalilenga side effect hii.
 
Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu.

1.serikali ya mababvu.
2.teknolojia.
3.mungu.

Hapa chini ni Kitila Mkumbo akitema madini ya dhahabu kipindi akiwa bado ni mwana harakati na mkosoaji mkubwa wa serikali ya ccm.

Leo hii ameteuliwa kuwa waziri ndani ya serikali ya ccm aliyokuwa anaikosoa imebidi ameze maneno yake.

Hakika nimeamini maneno ya wazaramo ya ZILONGWA MBALI NA ZITENDWA MBALI.

View attachment 1884822
Uchumi wa kat huu ni hatar nafuu ya UVIKO-19, akiikosoa serikal tumbo litachumiwaje??
 
Back
Top Bottom