Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Usikariri na kugeneralize mamboUnategemea kuna mtu atatoka ccm awe na vision!?? Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikariri na kugeneralize mamboUnategemea kuna mtu atatoka ccm awe na vision!?? Pole sana
Hivi hakuna sheria ya Ikulu; State House Act?
Tuanze kwanza na sheria ya ugaidi. Inasema gaidi ni nani na anakamatika kirahisi? Mbona mpaka leo M23 na Mayimay hawajakamatwa?Hivi hakuna sheria ya Ikulu; State House Act?
SERIKALI INAYOCREATE NA KUENDEKEZA MARUMIZI MAKUBWA YA KUJINUFAISHA KWA KSINGIZIO DDODOMA SIYO PAZURI.MAOATO YOTE YANAISHIA KWENYE KITU KINAITWA OCS ZA OFISI..MWAKA HUU SERIKI ITATUMI TRION 4 KWA AJILI YA OCS TU,,NDO HAYA MAMA NAFANYA..HABANI MATUMIZI.IKUKU NI DODOMA HARAFU MDA WOTE SERIKALI IKO DAR ES SALAAMIkulu imekuwa sehemu ya kuongoza vikao vya CCM
Huyu hawezi kupewa nafasi ya kugombea 2025, ana asili ya udhaifu, hakuna namnaHuyu mama hana vision yoyote wala hacommand respect kutoka wa wasaidizi wake ukianza na mawaziri wake. Sasa hivi kila mtu anajipigia tu kwa urefu wa kamba yake
CCM watafanya la maana sana kama watamuweka pembeni come 2025.
Hivi ikulu ikiamia dodoma ile ya pale dar itakua niniBinafsi naamini Sheria ya makao kuwa Dodoma ipo hai… na kuhamia Dodoma ni kitu kizuri Kwa nchi ambayo in less that 20 years tutaku zaidi ya watu milioni 100
mh rais aangalie sana faida za muda mrwfu za yeye kutumia muda mwingi zaidi Dodoma…
sio tu kwasababu za gharama (ambazo Kwa sasa ni kubwa sana kuwa na ikulu mbili na makao makuu sehemu mbili) Bali Pia kuleta msukumo wa kufanya dar ipumue na kuwa commercial city
Mama Samia, please do the needful
Dar ndiyo mji mkuu wa Tanzania, na Tanzania ndio Dar. Dodoma haina miundombinu kama dar. Kila mtanzania hutamani afike dar, ukifika dar unaonekana umefika tanzania na ni sifa kutembelea dara urudipo mikoani. Dodoma ibaki mji wa kihistoria tu kuwa bunge hufanyia vikao vyake huko
Jumba la makumbushoHivi ikulu ikiamia dodoma ile ya pale dar itakua nini
Ikulu imeshahamia Dodoma mkuuHivi ikulu ikiamia dodoma ile ya pale dar itakua nini
Hili limekaa kama jungu flani hivi...Nachukua nafasi hii kuiponheza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam.
Hili ni jambo zuri la kupngezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana kiongzoi wetu kwa maamuzi ya Busara
Nilimaanisha DodomaKigezo cha kupeleka makao makuu dar kilikuwa na sababu za kishamba na kizamani( eti iko katikakati) wakati Washington DC ( makao makuu ya Usa) iko umbali wa zaidi ya km 4500 kutoka baadhi ya miji ya pembenzoni lkn bado n makao makuu