Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikulu ya Dodoma hajakamilika kabisa bado JKT na JWTZ wanaendelea na ujenzi ila umefikia pazuriTunaanza kurudi Dar taratibu kimyakimya kwa kisingizo cha kuaga wafu Karimjee nakuonana na mabalozi kwa mabalozi ndo wanatuoa hera na hawataki tuhamie Dodoma, sasa kwa dhana ile ya kuimalisha mahusiano ni afadhali tuwauzi watanzania siyo.
Mabalozi wa ukaya kuwaleta Dodoma.So ikulu na viongozi wote wakubwa wanakaa dar tena kwa kilipwa posho.Hongera sana serikali ya ccm kwa maono haya
ndoto za mchana, endelea kujifarijiNachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam.
Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana kiongozi wetu kwa maamuzi ya Busara
Hizi ndio zile ID mpya za mikakati?Unawezaje kuthibitisha kauli yako kwamba watu wanajipigia? Toa ushahidi usiongee kwa kuwa una uhuru wa kuongea, leta ushahidi
Ccm wameifanya nchi kama shamba la bibiNachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam.
Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana kiongozi wetu kwa maamuzi ya Busara
Nyinyi c mnabunge huko au mnataka na Bunge liamie Dar es salaamKwa hiyo sisi Wananchi wa Dodoma tuichukulieje Serikali yetu nanyi Wananchi wenzetu??.