Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Naamini ishu ni Ikulu bado iko kwenye ujenzi,ikikamilika hatutamuona Dar mara kwa mara..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti MAUSHUNGI.... 🤣Huyu mama hana vision yoyote wala hacommand respect kutoka wa wasaidizi wake ukianza na mawaziri wake. Sasa hivi kila mtu anajipigia tu kwa urefu wa kamba yake
CCM watafanya la maana sana kama watamuweka pembeni come 2025.
Ametumbua bhana, Chalamila, Kakoko na wengineCCM hawatamtoa kwa sababu kawapa mwamya wa kupiga
Iwapo kina polepole wananguvu wnaweza kumtoa ngoje tusubiri.
Mama mpaka leo hajawahi tumbua utafikiri hakuna madudu.
Mwandiko wako mbayaaaSERIKALI INAYOCREATE NA KUENDEKEZA MARUMIZI MAKUBWA YA KUJINUFAISHA KWA KSINGIZIO DDODOMA SIYO PAZURI.MAOATO YOTE YANAISHIA KWENYE KITU KINAITWA OCS ZA OFISI..MWAKA HUU SERIKI ITATUMI TRION 4 KWA AJILI YA OCS TU,,NDO HAYA MAMA NAFANYA..HABANI MATUMIZI.IKUKU NI DODOMA HARAFU MDA WOTE SERIKALI IKO DAR ES SALAAM
Hakunaga mwandiko ktk simu kuna maandishi, mbona unamosea sana. Uandishi, mwandiko upo mashuleni na kwenye karatasi.Mwandiko wako mbayaaa
SERIKALI INAYOCREATE NA KUENDEKEZA MARUMIZI MAKUBWA YA KUJINUFAISHA KWA KSINGIZIO DDODOMA SIYO PAZURI.MAOATO YOTE YANAISHIA KWENYE KITU KINAITWA OCS ZA OFISI..MWAKA HUU SERIKI ITATUMI TRION 4 KWA AJILI YA OCS TU,,NDO HAYA MAMA NAFANYA..HABANI MATUMIZI.IKUKU NI DODOMA HARAFU MDA WOTE SERIKALI IKO DAR ES SALAAMIkulu imekuwa sehemu ya kuongoza vikao vya CCM
Hakunaga mwandiko ktk simu kuna maandishi, mbona unamosea sana. Uandishi, mwandiko upo mashuleni na kwenye karatasi.
Mwandiko wa wima chapa,mlalo, kuunga unatumia pen au penseli sio keypad au keyboard, haipo hivyo.
Sijui kama kiswahili ulifaulu!
Bado nakuambia huo sio mwandiko bali ni uandishi. Kuna ile mada ya insha, haihusu mwandiko bali alama za uandishi, mpangilio wa sentensi, aya nk.SERIKALI INAYOCREATE NA KUENDEKEZA MARUMIZI MAKUBWA YA KUJINUFAISHA KWA KSINGIZIO DDODOMA SIYO PAZURI.MAOATO YOTE YANAISHIA KWENYE KITU KINAITWA OCS ZA OFISI..MWAKA HUU SERIKI ITATUMI TRION 4 KWA AJILI YA OCS TU,,NDO HAYA MAMA NAFANYA..HABANI MATUMIZI.IKUKU NI DODOMA HARAFU MDA WOTE SERIKALI IKO DAR ES SALAAM
Unawezaje kuthibitisha kauli yako kwamba watu wanajipigia? Toa ushahidi usiongee kwa kuwa una uhuru wa kuongea, leta ushahidiHuyu mama hana vision yoyote wala hacommand respect kutoka wa wasaidizi wake ukianza na mawaziri wake. Sasa hivi kila mtu anajipigia tu kwa urefu wa kamba yake
CCM watafanya la maana sana kama watamuweka pembeni come 2025.
Lkn huoni kuwa ni kitu kitu Kibaya Serikali kuwa kigeu geu??.Nani akakae kwenye vumbi na kuacha upepo wa bahari kutoka lebanon?
Kwa hiyo sisi Wananchi wa Dodoma tuichukulieje Serikali yetu nanyi Wananchi wenzetu??.Me mwenyewe moyo wangu ulikua mweusi Sana serikali kuamia Dodoma nibora ibaki hapahapa Dar