Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

Hivi?
Upepo wa bahari na upepo wa vumbi wapi na wapi?
Halafu huku Kuna pweza, ngisi, tasi, kaa na papa.
Pia wenyeji wa huku Ni wazaramo watu wastaarabu wanao jua kula chapati. (Sijamtaja mtu)
 
Hivi hakuna sheria ya Ikulu; State House Act?
Tuanze kwanza na sheria ya ugaidi. Inasema gaidi ni nani na anakamatika kirahisi? Mbona mpaka leo M23 na Mayimay hawajakamatwa?
 
Ikulu imekuwa sehemu ya kuongoza vikao vya CCM
SERIKALI INAYOCREATE NA KUENDEKEZA MARUMIZI MAKUBWA YA KUJINUFAISHA KWA KSINGIZIO DDODOMA SIYO PAZURI.MAOATO YOTE YANAISHIA KWENYE KITU KINAITWA OCS ZA OFISI..MWAKA HUU SERIKI ITATUMI TRION 4 KWA AJILI YA OCS TU,,NDO HAYA MAMA NAFANYA..HABANI MATUMIZI.IKUKU NI DODOMA HARAFU MDA WOTE SERIKALI IKO DAR ES SALAAM
 
Watu tunalia hali tete nyie mnagawana posho za tozo za wamama wauza uji na vitumbua RIP magufuli wanao tunaumia huku
 
Wabaki huko huko Dodoma, maana tumetumia pesa nyingi kupeleka watumishi Dodoma, sasa wanakuja Dar tena na mnagharamia mahoteli, why?! Kwanza mneta foleni tu huku
 
Binafsi naamini Sheria ya makao kuwa Dodoma ipo hai… na kuhamia Dodoma ni kitu kizuri Kwa nchi ambayo in less that 20 years tutaku zaidi ya watu milioni 100

mh rais aangalie sana faida za muda mrwfu za yeye kutumia muda mwingi zaidi Dodoma…

sio tu kwasababu za gharama (ambazo Kwa sasa ni kubwa sana kuwa na ikulu mbili na makao makuu sehemu mbili) Bali Pia kuleta msukumo wa kufanya dar ipumue na kuwa commercial city

Mama Samia, please do the needful
 
Huyu mama hana vision yoyote wala hacommand respect kutoka wa wasaidizi wake ukianza na mawaziri wake. Sasa hivi kila mtu anajipigia tu kwa urefu wa kamba yake

CCM watafanya la maana sana kama watamuweka pembeni come 2025.
Huyu hawezi kupewa nafasi ya kugombea 2025, ana asili ya udhaifu, hakuna namna
 
Hivi ikulu ikiamia dodoma ile ya pale dar itakua nini
 

Unaonaje na bunge tulilete dar kabisa ili kuondoa kadhia ya wabunge na mawaziri kwenda kwenda dodoma?
 
Watafutaji wa dodoma tunaumia sana kwa hili..... pindi serikali ipo dodoma hela ilikua inaonekana kidogo...

Waseme tu wazi kuwa serikali imerudi dar wahuni tujongeze tuje huko huko sio kukaa kimya.... dodoma kumedorola sana yani bimkubwa hana time napo kabisa
 
Hili limekaa kama jungu flani hivi...
 
Kigezo cha kupeleka makao makuu dar kilikuwa na sababu za kishamba na kizamani( eti iko katikakati) wakati Washington DC ( makao makuu ya Usa) iko umbali wa zaidi ya km 4500 kutoka baadhi ya miji ya pembenzoni lkn bado n makao makuu
 
Kigezo cha kupeleka makao makuu dar kilikuwa na sababu za kishamba na kizamani( eti iko katikakati) wakati Washington DC ( makao makuu ya Usa) iko umbali wa zaidi ya km 4500 kutoka baadhi ya miji ya pembenzoni lkn bado n makao makuu
Nilimaanisha Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…