Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

Yaaani sasa hivi mjinga yeyote akiitwa White house basi anaomba msafara jioni hii ya leo nimepigiwa ving'ora nipishe nikasema mambo gani tena haya maana tulishayasahu maana ni kero mno
 
Ikulu ya Dodoma hajakamilika kabisa bado JKT na JWTZ wanaendelea na ujenzi ila umefikia pazuri
 
ndoto za mchana, endelea kujifariji
 
Sio ID ya kimkakati, kila jambo linakuja na facts watu walivyolalamikia tozo alafu kuwe na upigaji mahali wasiseme? Leta ushahidi ili tuamini kwamba upigaji upo
 
Ccm wameifanya nchi kama shamba la bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…