Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

Bandiko lako halisemi kua mkataba wake ni mpk mwaka gani? Yani unaanza lini unaisha lini?
 
Kwa nini usiwekwe hadharani? Mbona mishahara ya makocha wazungu huwekwa hadharani? Ikiwa ni siri lazima atapunjwa!! Mbaya zaidi anaweza kupewa mshahara mdogo kuliko baadhi ya wachezaji wa kigeni na hawatamheshimu!!
La mhimu apewe mshahara stahiki Kwa kazi yake But huwezi kulazimisha ati apewe mshahara sawa na aliokuwa akilipwa kocha Fulani hiyo siyo sawa. Na siyo sawa pia kusema ati apewe mshahara mkubwa kuliko mchezaji yeyote. Mfano mshahara aliokuwa akilipwa Ferguson pale utd alipokuja Moyes hakuupata. Vivo hivyo mshahara aliokuwa akilipwa Mourinho hakuupata Ole Guna. Na pia jiulize mshahara anaopata Messi pale Psg kama kocha wake anaupata. Cha msingi Simba wamlipe Mgunda fair salary Kwa kazi na quality yake na Kwa kuangalia prevailing salaries Kwa kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom