Hongera Simba SC Kutinga orodha vilabu bora Afrika

Hongera Simba SC Kutinga orodha vilabu bora Afrika

Ni faraja kubwa kwa Tanzania.

Mama samia apewe maua yake.

Pesa za magoli zimesaidia sana.
 
Mpira ni kiwanjani dk 90 na siyo kwenye karatasi.

Mbabe ni yule abebaye makombe na si vinginevyo.
 
Useme Simba ya 11 na Yanga ya 3, halafu Simba inacheza na timu ya kwanza na Simba itafungwa..!!
Usiniletee wanga wenu...hyo page ingekua CAF official sawa...nyie okotezeni okotezeni vi takwimu uchwara huko mjipe furaha fake...
 
Shirikisho ya soka duniani ni FIFA, Africa ni CAF, Tanzania ni TFF, na haya ndio huwa yanaandaa na kusimamia mashindano ya soka katika ngazi husika. Hayo ndio huwa yanafanya kazi ya mpira. Hilo IFFHS la michezo (basketball, volleyball, ndondi, table tennis, vinyoya etc) halina mashindano ya soka linayoyaandaa
Kipindi ambacho mnaleta takwimu za Simba kufanya vizuri kwa kupitia IFFHS, mlisema kuwa IFFHS inatambulika na FIFA. Au mnataka tuanze kufungua makaburi jinsi mlivyoisifia IFFHS? Leo hii kuiweka Yanga juu imekuwa hamuitambui.
 
Kipindi ambacho mnaleta takwimu za Simba kufanya vizuri kwa kupitia IFFHS, mlisema kuwa IFFHS inatambulika na FIFA.
Sasa badala ya kutusikiliza sisi, isikilize FIFA yenye mpira wake bwashee! Inatumia utaratibu upi? CAF inayotumia taratibu za FIFA, inatumia utaratibu upi? Hapo wala hautapata shida. Kwani sisi tulipokuwa tunawaletea takwimu za IFFH, huko CAF ninyi Yanga mlikuwa sehemu nzuri? Mbona mambo hayajawahi kuwa mazuri kwenu sehemu yoyote?
 
Kwani wakati mnaleta za IFFHS, Yanga ilikuwa sehemu nzuri? Alikuwa sehemu mbaya ila kafika hapo kutokana na trends za matokeo wanayopata kimataifa na kitaifa. Hata huko CAF, kumbuka Yanga alikuwa nafasi ya 75 je kafikaje kwenye 18 kama sio matokeo anayopata katika mashindano ya kimataifa? Hata mwaka huu ana nafasi ya kufika kwenye kumi bora au kushuka kabisa hadi kwenye 30 kama ilivyo kwa Simba, ana uwezo wa kufika tano bora au kushuka hadi 15.
 
Hata huko CAF, kumbuka Yanga alikuwa nafasi ya 75 je kafikaje kwenye 18 kama sio matokeo anayopata katika mashindano ya kimataifa?
Hii ndiyo ya kujivunia maana imetoka kwa mamlaka inayoandaa mpira wa FIFA. Sasa unafika fainali ya mashindano yanayoandaliwa na CAF, halafu CAF huyo anakuambia hongera kwa kupanda nafasi hadi ya 18, wewe huitaki, unataka nafasi ya mtu ambaye hakuandaa mashindano yaliyokufanya ufike fainali! Ni sawa na kusoma university halafu ung'ang'anie matokeo ya mtihani wa VETA
 
Unachanganya mambo, IFFHS sio chombo cha kuandaa mashindano wala kusimamia mashindano bali ni chombo maalumu kinachodili na takwimu na records. IFFS ina deal na performance za timu kwa ujumla kwenye michezo inayoshiriki ya kitaifa na kimataifa wakati CAF takwimu zao wana deal na michuano ya CAF pekee.
 
IFFS ina deal na performance za timu kwa ujumla kwenye michezo inayoshiriki ya kitaifa na kimataifa wakati CAF takwimu zao wana deal na michuano ya CAF pekee.
Huko kitaifa Yanga na Petro Atletico zitalinganishwa kwa reference ya ligi gani?
 
Mkuu unaiamini hii lost? Umekiona Kiinglish chake lakini?
We endelea kupambana na kiinglish watu wanakwea kileleni tu, hii Yanga ya sasa ni ngumu sana kushindana nayo, itawachapa ndani ya uwanja na itawachapa nje ya uwanja. Nyingine ni hii hapa 👇👇
IMG-20230912-WA0008.jpg
 
Kwa hiyo bingwa alowafunga hadi nae amezidiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom