Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Umeeleweka.Unachanganya mambo, IFFHS sio chombo cha kuandaa mashindano wala kusimamia mashindano bali ni chombo maalumu kinachodili na takwimu na records. IFFS ina deal na performance za timu kwa ujumla kwenye michezo inayoshiriki ya kitaifa na kimataifa wakati CAF takwimu zao wana deal na michuano ya CAF pekee.