Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Umeeleweka.Unachanganya mambo, IFFHS sio chombo cha kuandaa mashindano wala kusimamia mashindano bali ni chombo maalumu kinachodili na takwimu na records. IFFS ina deal na performance za timu kwa ujumla kwenye michezo inayoshiriki ya kitaifa na kimataifa wakati CAF takwimu zao wana deal na michuano ya CAF pekee.
Kwa Africa kuna mashindano mawili ya ndani ambayo yanatambulika na shirikisho la soka Africa (CAF) kwa kila nchi mwanachama wa CAF lazima awe na mashindano ya ligi kuu na mashindano ya FA (hayo ndio mashindano ya kitaifa), mfumo huo wa mashindano yapo hata kwenye wanachama wa mashiririkisho mengine mfano UEFA, n.k.Huko kitaifa Yanga na Petro Atletico zitalinganishwa kwa reference ya ligi gani?
Kuhuwa wanga, mtani Kalpana mnaongoza kwa kiwango cha kupigwa faini..!! Ahahahahaaa, wakawapunguzia ukali wa uchawi wenu kwa kuuita tambiko hatarishi.Usiniletee wanga wenu...hyo page ingekua CAF official sawa...nyie okotezeni okotezeni vi takwimu uchwara huko mjipe furaha fake...
Lugha hii inaweza tolewa na mchawi pekee..!!Ule ni moto tuu kama mioto mingine....
Hii imekaa kimchongo hata ww ukiangaliaIla post yako ya mwaka 2021 ulikuwa unafurahi mbona leo inakataa [emoji23]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Dadakeee[emoji23][emoji23][emoji23]umetishaaaaHii imekaa kimchongo hata ww ukiangalia
π π π π