Hongera TRA kwa kuita watu interview,ila zipo changamoto za kutatua

Hongera TRA kwa kuita watu interview,ila zipo changamoto za kutatua

Habari wanajf, nimepata mkanganyiko kidogo naomba kusaidiwaa... Ukiwa na kitambilisho cha NIDA au kadi ya mpiga kura kuna haja ya kuwa na barua ya utambulisho kutoka serikalii za mtaa???
 
Habari wanajf, nimepata mkanganyiko kidogo naomba kusaidiwaa... Ukiwa na kitambilisho cha NIDA au kadi ya mpiga kura kuna haja ya kuwa na barua ya utambulisho kutoka serikalii za mtaa???
Haina haja ..unatakiwa kuwa na kimoja wapo kitambulisho cha NIDA au kitambulisho cha kura.ukiwa na kimoja wapo haitajiki barua ya utambulisho .labda kama hauna kitambulisho kilichoainishwa kwenye tangazo.
 
Jamn mdogo wangu ana interview dar es salaam, mwenye kujua hiyo selou hall Saba Saba ground apande gari zipi ashukie wapi
 
Jamn mdogo wangu ana interview dar es salaam, mwenye kujua hiyo selou hall Saba Saba ground apande gari zipi ashukie wapi
Anatokea wapi sasa?dar es salaam ni kubwa.nani selou ni jengo ambalo liko ndani ya maonyesho ya sabasaba.siyo eneo we jichanganye umwambie konda nishushe selou sabasaba itakula kwako.mwambie achukue gari ya kwenda mbagala ashukie sabasaba then aningie ndani atafaute selou hall
 
Back
Top Bottom