Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

Karia ndo kaitukana yanga
alipewa makavu na matusi ya kisasa na gwii la usemaji hadi Gharib ikabidi amuombe senzo amtoe gwiji eneo hilo la sivyo kingenuka na mashabiki watiifu wa yanga wangelianzisha kumuunga mkono kurugenzi lao la habari wanalolikubali mnooo
 
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TFF..!!

Msemaji wa Yanga SC ameitwa na Kamati ya Maadili ya TFF kuhusuiana na lile "VAGI" lake la jana mithili ya "KABOKA MCHIZI" kwa Rais wa TFF Ndugu WALLACE KARIA.

Jana aliandika mengi kunihusu na kwamba atanipeleka Mahakamani kwa kumzushia, Mungu alivyo wa ajabu tumeamka na WITO kwenda kwake kujibu niliyoyaeleza kwenye andiko langu. Mashahidi wangu wa kwanza ni TFF katika kesi yangu. [emoji1787][emoji1787]

Labda nitoe tu somo la bure, sisi Waandishi wa Habari tunajifunza mbinu za utafutaji wa Habari. Ukizijua hupati tabu namna ya kupata habari ya uhakika kutoka kwa vyanzo muhimu na nyeti kwa uhakika pia.

Kabla sijaandika jana nilikuwa nishafanya kazi ya msingi ya kutafuta habari na kufanya uhakiki "verification" kwa wahusika ISIPOKUWA yeye tu kwakuwa asingetoa ushirikiano, kwa ushahidi wa kimazingira na kiburi chake busara ilinituma kutomtafuta. Baada ya kuthibitisha pasi na shaka ndipo nikaandika.

Mimi sikuwepo Arusha, nimepataje Video? Nimejuaje kwamba kulikuwa na ugomvi kati yao? Ninavyomuheshimu Rais wa TFF nisingeweza kuandika lolote kumhusu la namna ile bila kuwasiliana nae.

Hatakama mtu una nia au una mgombea wako heshimu kwanza Viongozi waliopo madarakani ili jamii ikuheshimu pia.

NB: Walitaka kumvika nguo Kichaa sasa amewageuka

BIN KAZUMARI.
 
ngoja tuone Mwakalebela na Bumbuli wasimame na Manara waliozinguana nae.
 
naomba hiyo kamati isipoteze muda apigwe mvua ya maisha.
 
naomba hiyo kamati isipoteze muda apigwe mvua ya maisha.
 
Huna akili.

Wanasheria wenyewe ndio wale walioshindwa na Morrison?

Huna akili.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Huna akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hivi siku hizi kutengeneza brand ni pamoja na kufanya utapelu kama ule uliomfanya akajiuzulu ukatibu mwenezi was ccm
 
Aliemuelewa huyu jamaa alichokiandika,aje anieleweshe!
 
Naona Leo ndege hakuna.mzigo umekata mwendo wa road to road
 
Ndugu umekunywa kidogo ama?
 
alipewa makavu na matusi ya kisasa na gwii la usemaji hadi Gharib ikabidi amuombe senzo amtoe gwiji eneo hilo la sivyo kingenuka na mashabiki watiifu wa yanga wangelianzisha kumuunga mkono kurugenzi lao la habari wanalolikubali mnooo
Kama naanza kukupata pata hivii kama vile unawasha moto kwny petrol
 
Tatizo lako andiko limekaa kiutopolo zaidi.hujui kinachoendelea
 
Mpuuzi huyo tapeli, asiwaingize Yanga SC kwenye ujinga wake, na nyie mashabiki wa utopolo mkiwa wajinga jiingizeni kumtetea.

Manara amemtukana Karia yeye personally kwa ushamba wake wa kutafuta sifa, sasa atulie asubiri zawadi yake.
Mbumbumbu hebu lete tusi la manara humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…