Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

Duh yote nimesoma lakini Manara ndo kaipa ubingwa labda ndo anapanga kikosi cha Yanga nakusajili jaman mbona wakulungwa hatupeani taarifa
 
Manara apindui hapa wala hatoboi lazima aungane na wambura niko pale mje mniue
 
Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana

Gwiji hilo pia katika kuitetea team hiyo asiyopenda dhidi ya maadui wake alimpa makavu mtangazaJi wa clouds fm aitwaye Prisca kishamba cha kushangaza ndani ya siku mbili CEO wa simba alionekana akicheka na adui huyo wa simba anayetumiwa na maaadui kuibomoa simba kupitia clouds fm

Gwiji liliteswa sana pale simba,kulazwa kwenye makochi South Africa hotelini, kulipwa 700,000 kwa mwezi dah inasikitisha sana

Sasa gwiji limehamia yanga team yake anayoipenda kwa dhati kabisaaa na limewapa mafanikio ya treble ila bana kwenye riziki hapakosi majungu, gwiji linaandamwa sana baada ya kuipa mafanikio yanga msimu huu

Jana gwiji lilionekana likimpa makavu karia wa Tff na kuna kolo moja la efm linashadadia sema UONGOZI WA YANGA UMEMSHAURI AWASILIANE NA WANASHERIA WAKE KUMSHTAKI JEMEDARI SAIDI

Hivi ndivyo inavyotakiwa na huu ni ujumbe kwa uongozi wa simba ujifunze uweledi toka kwa yanga na senzo jinsi ya kusimama na mfanyakazi wako, hapo ndipo U GENIUS WA SENZO unapoonekana sasa

**Kwako majizzo, diamond alimkanya kitenge wakati gwiji manara lilipomshataki maulid kitenge kwa kuisema simba vibaya, kusaga alimkanya Dauda kwa kuisema simba vibaya baada ya gwiji kushtaki,SASA WE MAJIZZO MBONA HUMKANYI JEMEDARI AU KUMFUKUZA KAZI? KWA NINI UNAITESA NAFSI YA GWIJI LA UHAMASISHAJI

mwisho kwako Wallace karia..HUU MZIKI WA MANARA MAKAMBA KAUSHINDWA ALIINGILIA DONGO ALILOPIGWA MO DEWJI NA YEYE AKAAMBIWA" TULIA WEEE SHUGHULIKIA UMEME USIJE TUMBULIWA" HADI LEO KIMYA,MO KASHINDWA ,BARBRA KAUFYATA WEWE HAUTAWEZA KAA KWA KUTULIA UKIMGUSA TU YTAJUA WATU WENYE NGUVU WALIOKO NYUMA YAKE NI KINA NANI

VIDEO HII NI GWIJI HILO LIKISALIMIANA KWA UPENDO NA WALACE KARIA SEMA WENYE WIVU NA MAENDELEO YAKE NA MAFANIKIO YAKE YA KUIPA YANGA MATAJI WANAZUSHA MENGINEYO, HAKIKA MANARA NI MKUBWA KULIKO SIMBA ..WAPELEKEE MOTO BABA MAKOLO HAYO

--------------------------------------------------------------
"Tupo ktk Nchi ambayo chuki binafsi ni sehemu ya maisha yetu, hususan kwa Watu ambao tunadhani wamefanikiwa kutuzidi.

Nimeona Video fupi za mwajiriwa wa kituo cha Efm Jemedari Said akisema nimemtukana matusi ya nguoni Rais wa TFF ,tena mbele ya Viongozi wa Serikali waliokuwepo jana uwanjani,,kwenye fainali ya Yanga na Coastal Union,ambayo ilifanyika jijini Arusha.

Imekuwa ni trend dhidi yangu na dhidi ya Club yangu ya Yanga Kwa mwaka mzima sasa,kushambuliwa na huyu Mtu Kwa mambo ya uongo,yenye kupalilia chuki dhidi yetu.

Binafsi nimeshaulalamikia mara kadhaa uongozi wa Efm na kumtumia ushahidi kiongozi wa Radio hiyo, Posts na Clp zake kadhaa zikinishambulia bila hata sababu,zenye lengo la kuharibu taswira yangu katika Jamii.

Nimetengeneza Brand yng Kwa muda mrefu na Kwa maarifa makubwa,nna heshma kubwa Kwa Uongozi wa Shirikisho na ndio maana mara zote wamekuwa wakiniteua kuongoza kamati yao ya hamasa.

Nna mahusiano mazuri na Rais wa Shirikisho, lakn Kwa maksudi Jemedari ametuma Video zisizo na Sauti kisha kusema eti nimemtukana Rais Karia, akaendelea kuongopa ya kwamba niliondolewa uwanjani na kutakiwa Kurudi baadae, akaongopa eti sikusalimiana na Karia jukwaani Wakati wa kukabidhiwa zawadi zetu za ushindi.
Yote nilisamehe ila hili ni lazma athibitishe beyond reasonable doubt kwamba nilimtukana Rais Karia,
Wanasheria wangu na Viongozi wangu wa Yanga wameniaelekeza,hili nisiliache hv hv.

Haiwezekani Reputation yangu ichafuliwe na Mtu huyo huyo kila siku tena bila hata sabab,walitabiri kuhama kwangu ndio anguko langu,Walichafua Kwa kila kashfa lakini Mungu wa Mbinguni na Ardhini alikuwa upande wangu.

Mafanikio ya Yanga msimu huu yamewaumiza na wanaona sasa wajaribu hata kunigombanisha na Shirikisho, nimefunzwa adabu kwetu na haitatokea kumtusi mtu matusi ya nguoni, tena hadharani,nimekuwa kichaa?

Ameandika eti nimetukana mbele ya Viongozi kadhaa wa Serikali wakiwemo Mawaziri na Wakuu Wa Mikoa, Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa kamat ya Ulinzi na Usalama ya mkoa, aniache nimtukane mtu hadharani tena matusi ya nguoni?

Chuki hiz ni za nn?
Keshaulizwa mara kadhaa Haji kakusosea nn? Maana mm simjui na hatujawahi Kwa namna yoyote ile kuwa na uhusiano"
[emoji361]
Haji Manara
manara umeamua kuja wewe mwenyewe JF kutundika uzi. na bado.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🔎
Haji Manara

Umeiweka kitaalamu sana hii 😂😂
 
Hao wanaosimama na Manara ,ndio wale aliowahi sema hawana akili!? Kama ndio hao Basi "wanathibitisha tu hayo maneno kuwa hawana akili".
 
Hukumu iliyosomwa inasema - Manara alisema "wewe unanifuata fuata sana,.......na hii ni mara ya tatu...."
Maana yake Manara alikuwa anajibu kitu fulani. Hicho mbona hakisemwi?
Hata kwenye kosa kubwa la kuua, huwa sababu na mazingira ya kutenda kosa yanaangaliwa na kutiliwa maanani kabla ya kutoa hukumu.
Hivyo hiyo kamati ilipaswa kujua nini kili-mprovoke Manara, tena ni mara ya tatu
Sikiliza hapa
 
Mpuuzi huyo tapeli, asiwaingize Yanga SC kwenye ujinga wake, na nyie mashabiki wa utopolo mkiwa wajinga jiingizeni kumtetea.

Manara amemtukana Karia yeye personally kwa ushamba wake wa kutafuta sifa, sasa atulie asubiri zawadi yake.
Siyo asiwaingize Yanga kwenye ujinga wake,tayari Yanga kwa ujinga wao wajaa wenyewe kwenye ujinga wa Haji Manara.
 
Engineer hersi kwenye suala hili kajijengea heshima sana , huwezi kumuacha askari wako nyuma mkiwa vitani, uongozi wa yanga unavyompambania manara ndivyo inavyotakiwa,wanayabeba matatizo yake kwa ustadi mkubwa sana
 
Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana

Gwiji hilo pia katika kuitetea team hiyo asiyopenda dhidi ya maadui wake alimpa makavu mtangazaJi wa clouds fm aitwaye Prisca kishamba cha kushangaza ndani ya siku mbili CEO wa simba alionekana akicheka na adui huyo wa simba anayetumiwa na maaadui kuibomoa simba kupitia clouds fm

Gwiji liliteswa sana pale simba,kulazwa kwenye makochi South Africa hotelini, kulipwa 700,000 kwa mwezi dah inasikitisha sana

Sasa gwiji limehamia yanga team yake anayoipenda kwa dhati kabisaaa na limewapa mafanikio ya treble ila bana kwenye riziki hapakosi majungu, gwiji linaandamwa sana baada ya kuipa mafanikio yanga msimu huu

Jana gwiji lilionekana likimpa makavu karia wa Tff na kuna kolo moja la efm linashadadia sema UONGOZI WA YANGA UMEMSHAURI AWASILIANE NA WANASHERIA WAKE KUMSHTAKI JEMEDARI SAIDI

Hivi ndivyo inavyotakiwa na huu ni ujumbe kwa uongozi wa simba ujifunze uweledi toka kwa yanga na senzo jinsi ya kusimama na mfanyakazi wako, hapo ndipo U GENIUS WA SENZO unapoonekana sasa

**Kwako majizzo, diamond alimkanya kitenge wakati gwiji manara lilipomshataki maulid kitenge kwa kuisema simba vibaya, kusaga alimkanya Dauda kwa kuisema simba vibaya baada ya gwiji kushtaki,SASA WE MAJIZZO MBONA HUMKANYI JEMEDARI AU KUMFUKUZA KAZI? KWA NINI UNAITESA NAFSI YA GWIJI LA UHAMASISHAJI

mwisho kwako Wallace karia..HUU MZIKI WA MANARA MAKAMBA KAUSHINDWA ALIINGILIA DONGO ALILOPIGWA MO DEWJI NA YEYE AKAAMBIWA" TULIA WEEE SHUGHULIKIA UMEME USIJE TUMBULIWA" HADI LEO KIMYA,MO KASHINDWA ,BARBRA KAUFYATA WEWE HAUTAWEZA KAA KWA KUTULIA UKIMGUSA TU YTAJUA WATU WENYE NGUVU WALIOKO NYUMA YAKE NI KINA NANI

VIDEO HII NI GWIJI HILO LIKISALIMIANA KWA UPENDO NA WALACE KARIA SEMA WENYE WIVU NA MAENDELEO YAKE NA MAFANIKIO YAKE YA KUIPA YANGA MATAJI WANAZUSHA MENGINEYO, HAKIKA MANARA NI MKUBWA KULIKO SIMBA ..WAPELEKEE MOTO BABA MAKOLO HAYO

--------------------------------------------------------------
"Tupo ktk Nchi ambayo chuki binafsi ni sehemu ya maisha yetu, hususan kwa Watu ambao tunadhani wamefanikiwa kutuzidi.

Nimeona Video fupi za mwajiriwa wa kituo cha Efm Jemedari Said akisema nimemtukana matusi ya nguoni Rais wa TFF ,tena mbele ya Viongozi wa Serikali waliokuwepo jana uwanjani,,kwenye fainali ya Yanga na Coastal Union,ambayo ilifanyika jijini Arusha.

Imekuwa ni trend dhidi yangu na dhidi ya Club yangu ya Yanga Kwa mwaka mzima sasa,kushambuliwa na huyu Mtu Kwa mambo ya uongo,yenye kupalilia chuki dhidi yetu.

Binafsi nimeshaulalamikia mara kadhaa uongozi wa Efm na kumtumia ushahidi kiongozi wa Radio hiyo, Posts na Clp zake kadhaa zikinishambulia bila hata sababu,zenye lengo la kuharibu taswira yangu katika Jamii.

Nimetengeneza Brand yng Kwa muda mrefu na Kwa maarifa makubwa,nna heshma kubwa Kwa Uongozi wa Shirikisho na ndio maana mara zote wamekuwa wakiniteua kuongoza kamati yao ya hamasa.

Nna mahusiano mazuri na Rais wa Shirikisho, lakn Kwa maksudi Jemedari ametuma Video zisizo na Sauti kisha kusema eti nimemtukana Rais Karia, akaendelea kuongopa ya kwamba niliondolewa uwanjani na kutakiwa Kurudi baadae, akaongopa eti sikusalimiana na Karia jukwaani Wakati wa kukabidhiwa zawadi zetu za ushindi.
Yote nilisamehe ila hili ni lazma athibitishe beyond reasonable doubt kwamba nilimtukana Rais Karia,
Wanasheria wangu na Viongozi wangu wa Yanga wameniaelekeza,hili nisiliache hv hv.

Haiwezekani Reputation yangu ichafuliwe na Mtu huyo huyo kila siku tena bila hata sabab,walitabiri kuhama kwangu ndio anguko langu,Walichafua Kwa kila kashfa lakini Mungu wa Mbinguni na Ardhini alikuwa upande wangu.

Mafanikio ya Yanga msimu huu yamewaumiza na wanaona sasa wajaribu hata kunigombanisha na Shirikisho, nimefunzwa adabu kwetu na haitatokea kumtusi mtu matusi ya nguoni, tena hadharani,nimekuwa kichaa?

Ameandika eti nimetukana mbele ya Viongozi kadhaa wa Serikali wakiwemo Mawaziri na Wakuu Wa Mikoa, Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa kamat ya Ulinzi na Usalama ya mkoa, aniache nimtukane mtu hadharani tena matusi ya nguoni?

Chuki hiz ni za nn?
Keshaulizwa mara kadhaa Haji kakusosea nn? Maana mm simjui na hatujawahi Kwa namna yoyote ile kuwa na uhusiano"
🔎
Haji Manara

Maalbino lazima walindwe kwa nguvu zote,ni viumbe adimu.
 
Back
Top Bottom