Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

Duh yote nimesoma lakini Manara ndo kaipa ubingwa labda ndo anapanga kikosi cha Yanga nakusajili jaman mbona wakulungwa hatupeani taarifa
 
Manara apindui hapa wala hatoboi lazima aungane na wambura niko pale mje mniue
 
manara umeamua kuja wewe mwenyewe JF kutundika uzi. na bado.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeiweka kitaalamu sana hii πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao wanaosimama na Manara ,ndio wale aliowahi sema hawana akili!? Kama ndio hao Basi "wanathibitisha tu hayo maneno kuwa hawana akili".
 
Hukumu iliyosomwa inasema - Manara alisema "wewe unanifuata fuata sana,.......na hii ni mara ya tatu...."
Maana yake Manara alikuwa anajibu kitu fulani. Hicho mbona hakisemwi?
Hata kwenye kosa kubwa la kuua, huwa sababu na mazingira ya kutenda kosa yanaangaliwa na kutiliwa maanani kabla ya kutoa hukumu.
Hivyo hiyo kamati ilipaswa kujua nini kili-mprovoke Manara, tena ni mara ya tatu
Sikiliza hapa
 
Mpuuzi huyo tapeli, asiwaingize Yanga SC kwenye ujinga wake, na nyie mashabiki wa utopolo mkiwa wajinga jiingizeni kumtetea.

Manara amemtukana Karia yeye personally kwa ushamba wake wa kutafuta sifa, sasa atulie asubiri zawadi yake.
Siyo asiwaingize Yanga kwenye ujinga wake,tayari Yanga kwa ujinga wao wajaa wenyewe kwenye ujinga wa Haji Manara.
 
Engineer hersi kwenye suala hili kajijengea heshima sana , huwezi kumuacha askari wako nyuma mkiwa vitani, uongozi wa yanga unavyompambania manara ndivyo inavyotakiwa,wanayabeba matatizo yake kwa ustadi mkubwa sana
 
Maalbino lazima walindwe kwa nguvu zote,ni viumbe adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…