georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Hata Sunderland by fluke or chance inaweza kuifunga Chelsea au Man city, siku ikitokea hivyo haina maana kwamba ni bora au imekuwa bora kuliko hizo timu. Lissu ataendelea kuwa bora siku zote.Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
- Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
- Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
- Hakutetereka muda wote wa kesi!
- Kasimamia anachokiamini muda wote!
Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!
Tafadhali msije mchacha wangwe!
Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema
Ndugu zangu najua wengi ni mashabiki tu wa siasa hamjui sheria wala hamjui lissu alikuwa anatetea nini. Someni title yangu inayosema zitto na mashitaka yake ya kibwenyenye ya kupoteza muda wa mahakama ambako nimeweka ufafanuzi wa shauri lilivyo.
The case against Zitto was very weak indeed, what is called an "open and shut" case. Nothing to brag about.
Tundu Lissu angeshinda kesi then angeweza kujitapa kwamba yeye ni mwanasheria mahiri, hata hii kesi ya "open and shut" (to his disadvantage) kashinda.
Lakini kwa kuwa kesi ilikuwa "open and shut" to Msando's advantage, the fact kwamba kashinda haioneshi umahiri sana kwa upande wake.
Na angeshindwa hapa angeonekana hana ajualo.
Wewe ulitegemea nini mkwe wa Raisi ashindwe kesi? hata angekuwa mwanasheria fresh from school upande wa zitto angeshinda tu... System at work... Muulize zombe anafahamu yote...
Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema
Albert Msando hajashinda lolote, hata yeye anajua! Walioshinda ni CCM waliomwambia akafungue kesi, watafanya yaliyosalia. Hii siyo siri! Hata jiwe lingekuwa wakili, lingeshinda! The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! However, freedom for the Judiciary is coming! Kila lenye mwanzo lina mwisho! It is just a matter of time!
unawashwa
zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!!
tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao wanachanganya sheria according to jk.
maliza shughuli ndani njoo nje tukubebe mpaka kokote uendako.
msando noooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
kweli leo nimeamini maneno ya jk kwamba lissu anachanganya sheria. hajui hata jambo dogo kwamba wakili hawezi pia kuwa shahidi.