Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
  1. Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
  2. Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
  3. Hakutetereka muda wote wa kesi!
  4. Kasimamia anachokiamini muda wote!

Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!

Tafadhali msije mchacha wangwe!
Hata Sunderland by fluke or chance inaweza kuifunga Chelsea au Man city, siku ikitokea hivyo haina maana kwamba ni bora au imekuwa bora kuliko hizo timu. Lissu ataendelea kuwa bora siku zote.
 
Wewe ulitegemea nini mkwe wa Raisi ashindwe kesi? hata angekuwa mwanasheria fresh from school upande wa zitto angeshinda tu... System at work... Muulize zombe anafahamu yote...
 
Last edited by a moderator:
sipendi kweli, yani kazi nimevurugwa, mitaani pia na sasa home navurungwa tuuuuu, sipendi kweli.
 
Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema

Alikuwa hajulikani kabisa? You must be very young then. Au unaishi Ulaya/Marekani? By the way, Mbowe ndiye aliyemuonesha njia ya kutokea. Na unajua Mawalla alikuwa mtu wa aina gani, then you already know who is Msando. Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/habari-...butuary-msg-r-i-p-advocate-nyaga-mawalla.html
 
The case against Zitto was very weak indeed, what is called an "open and shut" case. Nothing to brag about.

Tundu Lissu angeshinda kesi then angeweza kujitapa kwamba yeye ni mwanasheria mahiri, hata hii kesi ya "open and shut" (to his disadvantage) kashinda.

Lakini kwa kuwa kesi ilikuwa "open and shut" to Msando's advantage, the fact kwamba kashinda haioneshi umahiri sana kwa upande wake.

Na angeshindwa hapa angeonekana hana ajualo.
 
Ndugu zangu najua wengi ni mashabiki tu wa siasa hamjui sheria wala hamjui lissu alikuwa anatetea nini. Someni title yangu inayosema zitto na mashitaka yake ya kibwenyenye ya kupoteza muda wa mahakama ambako nimeweka ufafanuzi wa shauri lilivyo.

whatever it is, judge ni mtaalamu wa sheria na amepima hoja za kila upande, na maamuzi ndio hayo...kwa anayeona hajaridhika,APPEAL ni the next option. Otherwise kuna mengine zaidi ya haya yanayosemwa hadharani
 
The case against Zitto was very weak indeed, what is called an "open and shut" case. Nothing to brag about.

Tundu Lissu angeshinda kesi then angeweza kujitapa kwamba yeye ni mwanasheria mahiri, hata hii kesi ya "open and shut" (to his disadvantage) kashinda.

Lakini kwa kuwa kesi ilikuwa "open and shut" to Msando's advantage, the fact kwamba kashinda haioneshi umahiri sana kwa upande wake.

Na angeshindwa hapa angeonekana hana ajualo.

Ni kweli....
 
Wewe ulitegemea nini mkwe wa Raisi ashindwe kesi? hata angekuwa mwanasheria fresh from school upande wa zitto angeshinda tu... System at work... Muulize zombe anafahamu yote...

Fresh from school? mh!
 
Last edited by a moderator:
Askofu wa anglican anamjuwa huyu jamaa alimrudishia cheo chake msando nooma!!
 
Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema

Albert Msando hajashinda lolote, hata yeye anajua! Walioshinda ni CCM waliomwambia akafungue kesi, watafanya yaliyosalia. Hii siyo siri! Hata jiwe lingekuwa wakili, lingeshinda! The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! However, freedom for the Judiciary is coming! Kila lenye mwanzo lina mwisho! It is just a matter of time!
 
Sasa kwa nini CHADEMA haikutaka kulipeleka suala kwenye "mahakama" ya Baraza Kuu la CHADEMA?

Kumbuka hilo (kukataliwa due process ya kikao cha Baraza Kuu) ndilo lililopelekea Zitto kwenda mahakamani.

Watu mnajua mahakama za serikali ya CCM hamuwezi kupata haki, mtu anawataka mlipeleke suala kwenye vyombo vya chama.

Mnakataa.

Anawapeleka mahakama za serikali ya CCM, mnashindwa, mnalialia mahakama haziwezi kuwapa haki.

Ebooo!!

Kwani Zitto alikataa kikao cha baraza kuu la CHADEMA na kukimbilia mahakamani?

You are not making sense here.

Kwa nini Zitto alikataliwa the constitutional due process which involved a decision by Baraza Kuu?
 
He's well known to legal, political and bussiness circles.

Kuna watu walikuwa wanajitahidi sana kuja hapa Jf na trash talk kuhusu utendaji wa kazi zake.

Waulize hao kwenye picha wanafahamu vizuri kazi zake ndani ya CHADEMA.

Mapambano bado yanaendelea......

1.jpg

Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema wakitoka kwenye kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha baada ya kujisalimisha na kuhojiwa kushoto ni wakili wao Albert Msando na kulia ni mbunge wa Musoma Mjini,Vincent Nyerere
 
unawashwa
1.jpg

wa kwanza kuli kwa picha (kushoto kwa Zitto) na ni Member wa humuhumu JF mtafute licha ya kuwa CDM (yupo kikazi zaidi)
mm naona HAWASHWI ni mikogo tu kaweka mkono mfukoni
wanaowashwa na MaPro wa CDM leo watajikuna na hakukaliki viti na vitanda ni moto
 
zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!!

tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao wanachanganya sheria according to jk.

maliza shughuli ndani njoo nje tukubebe mpaka kokote uendako.

msando noooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

kweli leo nimeamini maneno ya jk kwamba lissu anachanganya sheria. hajui hata jambo dogo kwamba wakili hawezi pia kuwa shahidi.

Wifii uko wapi jamani, nimekumiss
 
Hivi huyu Lisu wanayemwaona mahiri kwa mujibu wa wao cdm; mbona kilaza kiasi kwamba hajui kuwa ''wakili wa kesi husika hawezi kuwa shahidi!!!!. nI AIBU NA INASIKITISHA; na mkimwondoa Msando cdm kwisha kabisa
 
Hakuna ushindi wowote kwa msando wala zitto hapa,influence za jumba kubwa jeupe la pale magogoni ndizo zimeleta matokeo haya.mapenzi ya jk yametimia hapa.
 
Wahafidhina chali, wanavyojikubali na wapambe wao thread zitakonda humu wiki nzima.
 
Niliweka post humu inayosema Zitto Running to Court:Running Time Strategy,sijui kwa nini mods waliiunganisha na post zingine.

Ukweli ni kuwa Zitto na wenzake wameshakimbilia kwa Msajili wa Vyama na kuwasilisha maombi yao ya kusajili chama kipya,wakati wanashauriwa warekebishe na kuweka sawa baadhi ya mambo ndipo zito alipokimbilia mahakamani ili akili za watu ziwe huko,warekebishe hayo mambo na hatimaye chama kipate usajili wa muda.Baada ya hayo kufanyika Zitto atajiondoa Chadema na kuondoka na wale wote walio nyuma yake ndani ya Chadema.Na huo ndiyo utakuwa ukurasa moya wa demokrasia nchini mwetu.Muyashike maneno yangu (mark my words)

Back
Top Bottom