georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Hata Sunderland by fluke or chance inaweza kuifunga Chelsea au Man city, siku ikitokea hivyo haina maana kwamba ni bora au imekuwa bora kuliko hizo timu. Lissu ataendelea kuwa bora siku zote.Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
- Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
- Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
- Hakutetereka muda wote wa kesi!
- Kasimamia anachokiamini muda wote!
Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!
Tafadhali msije mchacha wangwe!