johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe huijui Wapo radio.... Muulize dogo Milard Ayo amekulia pale!Tulia Wewe
Acha Upotoshaji Muda Huu
Umekula Maharage Ya Wapi Wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huijui Wapo radio.... Muulize dogo Milard Ayo amekulia pale!Tulia Wewe
Acha Upotoshaji Muda Huu
Umekula Maharage Ya Wapi Wewe?
Mhuni ana redio na majengo kibao ya ofisi na makanisa chadema hata jengo la ofisi hamna makao maluu mumepanga jengo lilikuwa store ya kuuza mkaa uswahilini .Nyie ndie wahuni.Gamanywa yuko Mbezi beach nyinyi uswahilini kinondoni mtaa wa ufipa kwa vibakaHii radio Ni Yule muhuni anaitwa Gamanywa, wahuni wale
MkuuWewe huijui Wapo radio.... Muulize dogo Milard Ayo amekulia pale!
Mhuni ana redio na majengo kibao ya ofisi na makanisa chadema hata jengo la ofisi hamna makao maluu mumepanga jengo lilikuwa store ya kuuza mkaa uswahilini .Nyie ndie wahuni.Gamanywa yuko Mbezi beach nyinyi uswahilini kinondoni mtaa wa ufipa kwa vibaka
Km huyo mjinga basi wew juha ingekua hvyo mngelifungia gazet la tz daima....what a foolish foolHiyo radio ulimchangia kuianzisha hadi umpangie cha kutangaza? Acha kutishia nyau mjinga wewe
Ila Bagonza na Mwingira wao ni kina nani?Ukimpanga Gamanywa na shetani basi utaona kuwa shetani ni malaika
Chadema tunawajua mna chuki na watu wa kanda ya ziwaGamanywa anajilinda dhidi ya kashfa ya DECI
Ila Bagonza na Mwingira wao ni kina nani?
Wewe kuna haja kabisa ya kupimwa akiliChadema tunawajua mna chuki na watu wa kanda ya ziwa
Gamanywa Mnamshambulia kwa kuwa anatoka kanda ya ziwa
Gamanywa hajawahi kujihusisha na Deci
Huu ushauri Mbona haumpi pia Bagonza, mwamakula na Mwingira?Mkuu
Radio Ni Ya Kanisa
Ndiyo Maana Tunasema Iwe NEUTRAL
Penda kusikia hata usichopenda kusikiaMaaskofu 1 + 1/2
Radio Wapo ni wapumbavu kama wapumbavu wengine!Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Kanisa gani bwashee?Mkuu
Radio Ni Ya Kanisa
Ndiyo Maana Tunasema Iwe NEUTRAL
Hapa Nadhani Imesimama Kwenye UtataKanisa gani bwashee?
Gamanywa anamiliki BCIC na gazeti la Msema kweli.
Wapo ni ngo ya kawaida tu ila BCIC ndio huduma ya kiroho chini ya mwamvuli wa Pentecoste.Hapa Nadhani Imesimama Kwenye Utata
Pentecost Ambapo Hizo Ulizotaja Ni Huduma Zilizopo Ndani Ya Kanisa Hilo Mpaka Wapo
Mwambie na bagonza naye.Mchungaji Gamanywa namkufamu miaka mingi sana..acha kujiingiza kwenye hizi siasa.. kuwa neutral...utaumia...
Ukitaka kujua ukatili wake waulize walimu na wanafunzi wa shule yake ya Shalom, walimu hawalipwi mshahara kila mwezi.Mhuni ana redio na majengo kibao ya ofisi na makanisa chadema hata jengo la ofisi hamna makao maluu mumepanga jengo lilikuwa store ya kuuza mkaa uswahilini .Nyie ndie wahuni.Gamanywa yuko Mbezi beach nyinyi uswahilini kinondoni mtaa wa ufipa kwa vibaka
maelekezo kutoka kwa watu wa TISSRadio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.