Uchaguzi 2020 Hongera Wapo Radio kwa kujitosa kuifanyia kampeni CCM waziwazi na kuvibagua vyama vingine

Hii radio Ni Yule muhuni anaitwa Gamanywa, wahuni wale
Mhuni ana redio na majengo kibao ya ofisi na makanisa chadema hata jengo la ofisi hamna makao maluu mumepanga jengo lilikuwa store ya kuuza mkaa uswahilini .Nyie ndie wahuni.Gamanywa yuko Mbezi beach nyinyi uswahilini kinondoni mtaa wa ufipa kwa vibaka
 
Ukimpanga Gamanywa na shetani basi utaona kuwa shetani ni malaika
 
Hiyo radio ulimchangia kuianzisha hadi umpangie cha kutangaza? Acha kutishia nyau mjinga wewe
Km huyo mjinga basi wew juha ingekua hvyo mngelifungia gazet la tz daima....what a foolish fool
 
Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.

Namalizia kwa kuwapa hongera.
Radio Wapo ni wapumbavu kama wapumbavu wengine!
 
Hapa Nadhani Imesimama Kwenye Utata
Pentecost Ambapo Hizo Ulizotaja Ni Huduma Zilizopo Ndani Ya Kanisa Hilo Mpaka Wapo
Wapo ni ngo ya kawaida tu ila BCIC ndio huduma ya kiroho chini ya mwamvuli wa Pentecoste.

Zote zinasimamiwa na Askofu Gamanywa pamoja na gazeti la Msema kweli.

Wapo inaendesha miradi mingi tu hata J J Mnyika aliwahi kuwa na vipindi pale akiimpromote Chadema kwenye Meza ya Busara!
 
Mhuni ana redio na majengo kibao ya ofisi na makanisa chadema hata jengo la ofisi hamna makao maluu mumepanga jengo lilikuwa store ya kuuza mkaa uswahilini .Nyie ndie wahuni.Gamanywa yuko Mbezi beach nyinyi uswahilini kinondoni mtaa wa ufipa kwa vibaka
Ukitaka kujua ukatili wake waulize walimu na wanafunzi wa shule yake ya Shalom, walimu hawalipwi mshahara kila mwezi.
 
wapo radio ni ya kundi la wenye vibanda vya kuabudia ambayo hutumika ka 'vioski' vya kujineemesha tofauti na makanisa kama RC, KKKT, Anglican na Sabato.
 
Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.

Namalizia kwa kuwapa hongera.
maelekezo kutoka kwa watu wa TISS
 
Back
Top Bottom