Hongera warembo wa JamiiForums

Hahahahaha kwann sasa jamani,mie sijambo mamito namshukuru Allah nambie ww waendeleaje
Nimecheka hiyo hongera yako. Lol.

Mi pia sijambo pacha namshukuru allah bukheri wa afya.

Niambie baridi inasemaje?
 
Tehehehe sasa nitaachaje kumsifia pacha wangu wakati kaingia kwenye top ten ya warembo bwana, baridi hii wiki ina afadhali jana na leo sijavaa sweta
 
Hahaaa. Haya bwana nashukuru mana sio kwa kumpenda pacha wako kiasi hicho. [emoji8]

Daah. Kumbe leo kuna kaunafuu au ndio una kikoi pembeni.
 
Mmh. Haya ahsante Mangi.

Ila ukiniona sidhani kama hutanikimbia kwa jinsi nilivyo.
Sijamaanisha muonekano, bali hulka yako.
Najua wengi tunajifanya vichaa tukiwa humu lkn ww unaonekana mpole, usiyependa makuu.

Sipendi kum judge mkuu muonekano wake, sio vitu vya msingi kwangu
 
Hahaaa. Haya bwana nashukuru mana sio kwa kumpenda pacha wako kiasi hicho. [emoji8]

Daah. Kumbe leo kuna kaunafuu au ndio una kikoi pembeni.
Nisipokupenda pacha ina maana nam sijipendi hahaha lazima umpende pacha wako, kama ulikuwepo nimevunga nmetoka bila sweta kuingia ofisini nahisi baridi
 
Sijamaanisha muonekano, bali hulka yako.
Najua wengi tunajifanya vichaa tukiwa humu lkn ww unaonekana mpole, usiyependa makuu.

Sipendi kum judge mkuu muonekano wake, sio vitu vya msingi kwangu

Ahsante sana Mangi nashukuru kama na wewe umeliona hilo. [emoji120]

Uwe na siku njema Mangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…