Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Hongera pacha wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera pacha wangu
Ujue kabla sija reply nimepata kicheko cha ghafla. Lol.Hongera pacha wangu
Swahiba sio kwa kupaliwa huko. Pole.Koh koh
I see you swahibaaSio kwamba msitupe sifa. Namaanisha wasitusakame na avatar tulizoziweka kama ni nzuri tupeni tu sifa kwa niaba.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
AISEE!!!!!!!!!!!!!!Kumbuka pia humo humo kuna Id za kiume zinatumia majina hayo.
Wapi tena swahiba au humu humu. Teh tehI see you swahibaa
Hahahahaha kwann sasa jamani,mie sijambo mamito namshukuru Allah nambie ww waendeleajeUjue kabla sija reply nimepata kicheko cha ghafla. Lol.
Ahsante pacha wangu. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Umeamkaje lakini?
Nimecheka hiyo hongera yako. Lol.Hahahahaha kwann sasa jamani,mie sijambo mamito namshukuru Allah nambie ww waendeleaje
Mmh. Haya ahsante Mangi.
Tehehehe sasa nitaachaje kumsifia pacha wangu wakati kaingia kwenye top ten ya warembo bwana, baridi hii wiki ina afadhali jana na leo sijavaa swetaNimecheka hiyo hongera yako. Lol.
Mi pia sijambo pacha namshukuru allah bukheri wa afya.
Niambie baridi inasemaje?
Ha haaaaaa nakugawa bureeeeWapi tena swahiba au humu humu. Teh teh
Tutafanyaje swahiba waache tu wasifie vivulii. [emoji125] [emoji125]
Hahaaa. Haya bwana nashukuru mana sio kwa kumpenda pacha wako kiasi hicho. [emoji8]Tehehehe sasa nitaachaje kumsifia pacha wangu wakati kaingia kwenye top ten ya warembo bwana, baridi hii wiki ina afadhali jana na leo sijavaa sweta
Sijamaanisha muonekano, bali hulka yako.Mmh. Haya ahsante Mangi.
Ila ukiniona sidhani kama hutanikimbia kwa jinsi nilivyo.
kweli mkuu muache aende kichwa kichwaUmerusha jiwe gizani Mkuu
Nisipokupenda pacha ina maana nam sijipendi hahaha lazima umpende pacha wako, kama ulikuwepo nimevunga nmetoka bila sweta kuingia ofisini nahisi baridiHahaaa. Haya bwana nashukuru mana sio kwa kumpenda pacha wako kiasi hicho. [emoji8]
Daah. Kumbe leo kuna kaunafuu au ndio una kikoi pembeni.
Sijamaanisha muonekano, bali hulka yako.
Najua wengi tunajifanya vichaa tukiwa humu lkn ww unaonekana mpole, usiyependa makuu.
Sipendi kum judge mkuu muonekano wake, sio vitu vya msingi kwangu