Karibu sana we ni mdogo wangu pia hivyo jisikie amani ndani ya moyo.
Kweli na sio jambo dogo kwa mwanaume ku pretend kuwa mwanamke hadiLakini ni hatari sana
Kweli sister emmyta tuko pamojaKaribu sana we ni mdogo wangu pia hivyo jisikie amani ndani ya moyo.
Usijali mdogo wangu tuko pamoja.
h ahaha haya
hapanaWeka picha yako mkuu tukuone
Na bahati nzuri spea ninazo acha tu zivunjike mwayaMumy sio kwa kutaka kuvunja mbavu zangu asubuhi hii. Lol.
Mwanae mie
Duh hatariKati ya hizo picha hapo kuna shoga anaitumia. Akizingua namtaja live.
Aseee nimejifunza kitu brotherdogo ukitaka upagawe amini hzo avatar