King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Uchawa ndo tatizo lingine ambalo lime jitokeza nchini tena.......Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa wizara ya nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa geita na shinyanga hatujakatiwa umeme, huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida Sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme, ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Samia na biteko hoyeeeee.
Hii Mikoa ilikuwa inaonewa sana na Maharage.Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa geita na shinyanga hatujakatiwa umeme,
Penye Ukweli lazima pasemwe mambo makubwa anayoifanyia nchi dk Samia yalikuwa yanaenda kufutika sababu ya sakata hili la umeme.Uchawa ndo tatizo lingine ambalo lime jitokeza nchini tena.......
Maharage na makamba kwa kweli walijua kutunyoosha.Hii Mikoa ilikuwa inaonewa sana na Maharage.
Mpaka anamaliza miezi mitatu hapo wizarani tatizo litakuwa limeisha nchi nzima tuendelee kuvuta subira na tumpe muda ndugu Biteko.Leo kuna maeneo umeme washauchukua
Ova
Sijamzuia asifanye kazi bali namtia moyo awashughulikie kenge wote waliokuwa wanaihujumu tanesco.Tulia.Acha sifa za "ki'aya"!Muache afanye kazi!🤔
Ni kichaa tu awezaye kusema hivi.Samia na biteko hoyeeeee.
Wewe labda unaishi ndani ya yard ya mitambo ya kupokelea na kusambaza huo umeme na sio huku uraiani.!Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa wizara ya nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa geita na shinyanga hatujakatiwa umeme, huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida Sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme, ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Samia na biteko hoyeeeee.
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaksNiende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.
Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme
Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
Ukitaka kuona unakokwenda tazama pia ulikotoka Kwa kweli matokeo chanya yanaonekana na hili pia Samia anafahamu huwezi kupendwa na kila mtu, yesu mwenyewe pamoja na kugawa samaki na kuponya vipofu lkn bado alisurubiwa.Ni kichaa tu awezaye kusema hivi.
Ni Jambo jema make wananchi wanachotaka ni umeme wa uhakika hata kama watanunua wa Ethiopia au Somalia.BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii mikoa niliyotaja pigia mtu unayemfahamu uliza mara ya mwisho kukatiwa umeme atakwambia ilikuwa ijumaa, najua bado kuna maeneo bado Yana shida Ila soon napo mtasahau hiyo adha ya umeme.Wewe labda unaishi ndani ya yard ya mitambo ya kupokelea na kusambaza huo umeme na sio huku uraiani.!
Hali ya upatikanaji umeme ndiyo imekuwa mbaya zaidi kuliko ilivokuwa wiki mbili au tatu zilizopita kiasi cha kuathiri hata upatikanaji wa huduma zingine muhimu zaidi hasa maji ambayo mashine za kusukuma maji zinategemea nishati ya umeme