Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

Kuna vitu vya kuwapongeza viongozi lakini sio swala hili la umeme
#KUFA NDIO UHURU WENYEWE
Makamba na maharage walipoharibu mliwapopoa basi na wale wanaoweka mambo Sawa basi wapongezwe
 
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.

Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme

Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
january na mzee wa mshale umerudi wakiona hii message watanuna
 
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.

Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme

Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
Sisi huku ambako hata sasa hivi hakuna umeme unataka tuseme nini?

Kuna tabia zingine zipo biased!!! Yaani Geita na Shinyanga tu ambako hakuna hata viwanda vya maana umeshaanza kusifia!!!?

Chawa ni chawa tu
 
Shinyanga na geita kuna viwanda vingi local na international zungumza lingine, hebu huko matombo uliko nitajie kiwanda cha kimataifa kama bulyanhulu gold, geita gold mine, mwadui na Jambo Industry vilivyopo mkoa wa geita na shinyanga? Ndomana nikasema bado maeneo machache nayo mtasahau hiyo adha ya umeme vuteni subira biteko yupo mzigoni kuweka Mambo sawa.
 
Back
Top Bottom