Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

We furah tu siku mbili hzo ila ilo pigo mtakalokuja kupigwa utajuta kuandka huu upuuzi
Makamba na maharage walizidi upole yaani walikuwa wanahujumiwa waziwazi lkn bado waliendelea kucheka na ngedere, biteko anawanyoosha kimya kimya na hili tatizo ndo bye bye tena.
 
Uchawa ni shida..., Ni kama mfanyakazi kazi wako unampa pesa akununulie nyama yeye haleti kitu...., na siku akileta mifupa eti unamsifia
 
Uchawa ni shida..., Ni kama mfanyakazi kazi wako unampa pesa akununulie nyama yeye haleti kitu...., na siku akileta mifupa eti unamsifia
Biteko tumemtuma alete nyama mchanganyiko(stake+utumbo) yeye kaleta maini so lazima asifiwe, makamba na maharage tuliwatuma maini wakaleta utumbo na makongoro ndomana tunawapopoa.
 
H
Biteko tumemtuma alete nyama mchanganyiko(stake+utumbo) yeye kaleta maini so lazima asifiwe, makamba na maharage tuliwatuma maini wakaleta utumbo na makongoro ndomana tunawapopoa.
Hivi uko wapi wewe?Ninyi ndiyo wa kutandikwa fimbo za shingoni hadi mseme wakoraa au kasinge!Tulia na uache usenene wako.🤔
 
Kwa hii mikoa niliyotaja pigia mtu unayemfahamu uliza mara ya mwisho kukatiwa umeme atakwambia ilikuwa ijumaa, najua bado kuna maeneo bado Yana shida Ila soon napo mtasahau hiyo adha ya umeme.
Wewe uko TANESCO? Maana unatuhakikishia utadhani wewe ndo mkata umeme mwenyewe.
 
Ndio mnavyojidanganya nyie chawa wa ccm mnataka muendelee kuiba mali za nchi kwa kutumia mgongo wa katib hii ya kidharimu!! Safari hii hamtoboi, wananchi watatoa sadaka!
Sema Mwananchi sio wananchi yanga wenyew hawana hata habari.
 
Sema Mwananchi sio wananchi yanga wenyew hawana hata habari.
Wananchi wanaojitambua mambo ya mpira hayana kipaumbele kwao!! Nyie chawa ndio mnarubuniwa na kuacha kufikiria mambo msingi kwa maisha yenu na wajukuu zenu mnabakia kushabikia mipira!!
 
Wananchi wanaojitambua mambo ya mpira hayana kipaumbele kwao!! Nyie chawa ndio mnarubuniwa na kuacha kufikiria mambo msingi kwa maisha yenu na wajukuu zenu mnabakia kushabikia mipira!!
kwel we pumba,yaan michez c jambo la msingi?
 
Back
Top Bottom