Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe ni kiongozi wa umma?Akisifiwa mbowe sawa, Ila akisifiwa Biteko ni dhambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ni kiongozi wa umma?Akisifiwa mbowe sawa, Ila akisifiwa Biteko ni dhambi.
Sipo tanesco Ila mabadiliko chanya nimeanza kuyashuhudia so Nina Imani kubwa na biteko.Wewe uko TANESCO? Maana unatuhakikishia utadhani wewe ndo mkata umeme mwenyewe.
Ni mwanasiasa na tunaowasifia ni wanasiasa!!Mbowe ni kiongozi wa umma?
Pata kwanza elimu ya katiba mpyaNi mwanasiasa na tunaowasifia ni wanasiasa!!
Katiba iliyopo inatosha kabisaPata kwanza elimu ya katiba mpya
Kama unadhani haya ndio maini all I can say umezoea mediocrity....Biteko tumemtuma alete nyama mchanganyiko(stake+utumbo) yeye kaleta maini so lazima asifiwe, makamba na maharage tuliwatuma maini wakaleta utumbo na makongoro ndomana tunawapopoa.
Michezo kwa mtu asiyekuwa huru kiuchumi ni mateso!! Wewe bwege huelewi hiyo kwani umetekwa na propaganda za mafisadi ya ccm!kwel we pumba,yaan michez c jambo la msingi?