King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
- Thread starter
-
- #21
Makamba na maharage walipoharibu mliwapopoa basi na wale wanaoweka mambo Sawa basi wapongezweKuna vitu vya kuwapongeza viongozi lakini sio swala hili la umeme
#KUFA NDIO UHURU WENYEWE
Kwanini mkuu?Wabongo tunaongoza kwa matumizi mabovu ya hongera.
I second you!!Dotto vunja uovu na mikataba ya hovyo aliyofanya makamba hapo wizarani na Tanesco.
Yule ni mtu wa deal na kuwaza upigaji tu, kwanza hana maadili na sio mzalendo na hilini hata baba !
january na mzee wa mshale umerudi wakiona hii message watanunaNiende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.
Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme
Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
Sisi huku ambako hata sasa hivi hakuna umeme unataka tuseme nini?Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.
Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme
Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
Hakuna sababu. Endelea tuKwanini mkuu?
Hahaha mshale uliangukia sebuleni(ttcl) usiku huo huo ukarushwa chumbani kabisa (posta)january na mzee wa mshale umerudi wakiona hii message watanuna
Shinyanga na geita kuna viwanda vingi local na international zungumza lingine, hebu huko matombo uliko nitajie kiwanda cha kimataifa kama bulyanhulu gold, geita gold mine, mwadui na Jambo Industry vilivyopo mkoa wa geita na shinyanga? Ndomana nikasema bado maeneo machache nayo mtasahau hiyo adha ya umeme vuteni subira biteko yupo mzigoni kuweka Mambo sawa.Sisi huku ambako hata sasa hivi hakuna umeme unataka tuseme nini?
Kuna tabia zingine zipo biased!!! Yaani Geita na Shinyanga tu ambako hakuna hata viwanda vya maana umeshaanza kusifia!!!?
Chawa ni chawa tu
Tujifunze ku-appreciate pale wapendwa wetu wanapofanya vyemaHakuna sababu. Endelea tu
SawaTujifunze ku-appreciate pale wapendwa wetu wanapofanya vyema
Ni ujinga tu umetujaaWabongo tunaongoza kwa matumizi mabovu ya hongera.
Makamba = JK + RostamDotto vunja uovu na mikataba ya hovyo aliyofanya makamba hapo wizarani na Tanesco.
Yule ni mtu wa deal na kuwaza upigaji tu, kwanza hana maadili na sio mzalendo na hilini hata baba !
Kama nyumbu wa mbowe wakupinga kila jema la serikali.Taifa letu linawatu wajinga haswa
Hatumzidi mwenye uzi wake.Ni ujinga tu umetujaa
dada angu nakuheshimu snKama nyumbu wa mbowe wakupinga kila jema la serikali.
Huyo ni dada ambaye amezoea umbeaHatumzidi mwenye uzi wake.
Nyie machawa wa makamba na makamba mwenyewe ndo mliokuwa mnatuharibia nchiUchawa ndo tatizo lingine ambalo lime jitokeza nchini tena.......