King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
- Thread starter
-
- #41
Makamba na maharage walizidi upole yaani walikuwa wanahujumiwa waziwazi lkn bado waliendelea kucheka na ngedere, biteko anawanyoosha kimya kimya na hili tatizo ndo bye bye tena.We furah tu siku mbili hzo ila ilo pigo mtakalokuja kupigwa utajuta kuandka huu upuuzi
Akisifiwa mbowe sawa, Ila akisifiwa Biteko ni dhambi.Ni ujinga tu umetujaa
Biteko tumemtuma alete nyama mchanganyiko(stake+utumbo) yeye kaleta maini so lazima asifiwe, makamba na maharage tuliwatuma maini wakaleta utumbo na makongoro ndomana tunawapopoa.Uchawa ni shida..., Ni kama mfanyakazi kazi wako unampa pesa akununulie nyama yeye haleti kitu...., na siku akileta mifupa eti unamsifia
Mdogo wng mbona huniheshimu Kaka yako ni lini umeanza kuvuta bangi?Huyo ni dada ambaye amezoea umbea
Wenzenu wenye akili huko Mali wameahirisha uchaguzi mpaka ipatikane katiba mpya!! Nyie bado mnacheka cheka na Samia!!'Katiba mpya ikawa suluhisho au tatizo zengine'
Hivi uko wapi wewe?Ninyi ndiyo wa kutandikwa fimbo za shingoni hadi mseme wakoraa au kasinge!Tulia na uache usenene wako.🤔Biteko tumemtuma alete nyama mchanganyiko(stake+utumbo) yeye kaleta maini so lazima asifiwe, makamba na maharage tuliwatuma maini wakaleta utumbo na makongoro ndomana tunawapopoa.
Kuna ujinga, maradhi na umaskini halafu kuna uchawa 😂Uchawa ndo tatizo lingine ambalo lime jitokeza nchini tena.......
katiba sio suluhisho bhn acha kudanganya ubongo.Wenzenu wenye akili huko Mali wameahirisha uchaguzi mpaka ipatikane katiba mpya!! Nyie bado mnacheka cheka na Samia!!
Wewe uko TANESCO? Maana unatuhakikishia utadhani wewe ndo mkata umeme mwenyewe.Kwa hii mikoa niliyotaja pigia mtu unayemfahamu uliza mara ya mwisho kukatiwa umeme atakwambia ilikuwa ijumaa, najua bado kuna maeneo bado Yana shida Ila soon napo mtasahau hiyo adha ya umeme.
Ndio mnavyojidanganya nyie chawa wa ccm mnataka muendelee kuiba mali za nchi kwa kutumia mgongo wa katib hii ya kidharimu!! Safari hii hamtoboi, wananchi watatoa sadaka!katiba sio suluhisho bhn acha kudanganya ubongo.
Sema Mwananchi sio wananchi yanga wenyew hawana hata habari.Ndio mnavyojidanganya nyie chawa wa ccm mnataka muendelee kuiba mali za nchi kwa kutumia mgongo wa katib hii ya kidharimu!! Safari hii hamtoboi, wananchi watatoa sadaka!
Wananchi wanaojitambua mambo ya mpira hayana kipaumbele kwao!! Nyie chawa ndio mnarubuniwa na kuacha kufikiria mambo msingi kwa maisha yenu na wajukuu zenu mnabakia kushabikia mipira!!Sema Mwananchi sio wananchi yanga wenyew hawana hata habari.
Tatizo nn tena mzee wa DP world!Uchawa ndo tatizo lingine ambalo lime jitokeza nchini tena.......
kwel we pumba,yaan michez c jambo la msingi?Wananchi wanaojitambua mambo ya mpira hayana kipaumbele kwao!! Nyie chawa ndio mnarubuniwa na kuacha kufikiria mambo msingi kwa maisha yenu na wajukuu zenu mnabakia kushabikia mipira!!
RubbishMdogo wng mbona huniheshimu Kaka yako ni lini umeanza kuvuta bangi?