Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

Mnataka msaada wamawazo at the same point hamtaki tujue ugonjwa waelekea wapi? Mjitafakari kwanza
 
Nyongeza ni kuhusu upatikana wa vifaa vya kupimia, senegal ni Waafrika wenzetu kama hicho kifaa chao kweli kinafanyakazi MSD wanunue kwa wingi na viuzwe Pharmacy pamoja na maelekezo ya namna ya kujipima. Sharti liwe kujipima hapo hapo Pharmacy na kuanzishiwa dawa kama una maambukizi badala ya kusubiri mpaka mtu aanze kukohoa ndio aanze kupimwa
 
Mkuu independent outlook ya kumkopesha Mh Mbowe 800milion? Pole sana
Mudawote hivi kwa nini huwa mnamhusisha yeyote ambaye hawaungi mkono au mpinzani wa CCM kuwa ni CDM? I have said it time and again, kuwa sina unasaba na CDM. Naunga mkono juhudi zao za kuondoa uonevu wa awamu ya tano, basi! Kupotea watu, kuuawa, kupigwa risasi, kubambikiwa kesi etc! Labda kwa faida yako, nilianza maisha na Tanu Youth League...... and have traversed all the way through Nyerere to this regime!
 
Kisha wewe jamaa ni muondo na mshenz.

Wewe usietaka taharuki ndo unaewapa raia taharuki.

Natamani nikutusi hadi kufa kwangu.

Kama umesoma bas elimu yako itendee kazi

Kama hujasoma basi kasoma uwe mtaalamu mzuri wa afya na kutokuyumbisha wa wanasiasa.

By
Pharmasist

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6. Kuweka wagonjwa wenye dalili ndogo ndogo kwenye isolations

Kuhusu hili tulijadiliana na hatukufikia muafaka. Mheshimiwa Waziri akaomba wanataaluma tujadiliane halafu tumshauri kwenye hili. Maswali yakiwa; Je ni sahihi kuwa weka wagonjwa wenye dalili ndogo ndogo kwenye isolation ambazo tayari zimejaa au tuwape ushauri halafu wajitenge nyumbani mpaka Ikitokea wana dalili za hatari?. Hii itabidi tuitolee maoni sisi kama wanataaluma

>>>>>> Halafu unaomba maoni yetu. Sisi ni wanataaluma wenzio?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukionywa onyeka mkuu wangu Retired , usishupaze shingo. Hata Snowden yupo uhamishoni Russia, China wao wananyonga ukiwa msaliti wa maendeleo ya nchi.
 
Ukionywa onyeka mkuu wangu Retired , usishupaze shingo. Hata Snowden yupo uhamishoni Russia, China wao wananyonga ukiwa msaliti wa maendeleo ya nchi.
Sasa unaanza vitisho! Unanionya kwa kosa lipi? Sana sana ni kufa tu, basi! Hilo sina hofu nalo kama alivyosema Lwaitama kuwa mnanisogeza kaburini!
 
Tunataka kujua watu wangapi wamepimwa wangapi wanaugua, wangapi wako karantini na wangapi wamepoteza maisha.
Wangapi akina nani?Ndugu zako au family yako wamepimwa?Unataka kujua takwimu kutoka kwa akina nani?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Wangapi akina nani?Ndugu zako au family yako wamepimwa?Unataka kujua takwimu kutoka kwa akina nani?

Senti bai yuzingi tecno T301
Hii ndio akili ya watu tuliowapa madaraka watuongeze!. Shame

act like they don't know anything
 
Mbona flyovers mnacopy, ni kitu gani Tz hatucopy mpaka ukomunisti tumekopi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu nini kifanyike tulisema zamani sana tukapuuzwa, au hukuwa umejiunga JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri ulishatolewa ila haukufuatwa, sasa unataka ushauri gani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mpo kwenye mikakati. Kumbe uwezo wetu wa kukabiliana na huu ugonjwa ni mdogo. Kwanini hamukuchukua hatua kali za kuudhibiti tangu mwanzo?.
Ndiyo ishatokea hata tukilaumu haitusaidii kitu.
Ni bora tuache lawama na tuchangie maoni nini kifanyike, lawama huongeza ukubwa wa tatizo tu na mgawanyiko.
 
Ushauri ulishatolewa ila haukufuatwa, sasa unataka ushauri gani tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushauri wa kwanza ulitolewa na nani na kwa namna gani? Inamaana kwa vile mara ya kwanza ilishindikana wakae tu wasifanye chochote?

Kama hauwezi kuona hii hatua ya kushirikisha wadau na wataalam wa afya inaumuhimu kwenye kutafuta njia za kupambana na hili janga, pendrkeza njia unayoona inafaa lakini sio kubeza na kupinga kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…