Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

Rais John Josef Pombe Magufuli yuko wapi????????¿??????????¿????????¿?????????????¿????????????

Rais wangu yuko wapi jamani?????¿????

Rais wa mkoa wa DSM yuko pande gani?????


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuthibiti usafiri wa umma wa mkoa hadi mkoa hasa Dar itakuwa kazi bure....mikoa yenye maambuzi mengi pia ziwekwe lockdown za mabasi ya abiria, maana ugonjwa unasambaa kwa njia ya usafiri kwe nda maeneo yasiyo na maambukizi.
 
Sasa unatetea nini hapa ikiwa huelewi ni kwanini uzembe huu umetokea? Maana unaongea as if una mamlaka yote mabegani mwako....
Nakubaliana na wewe, hicho kikao kilipaswa kufanyika December 2019 au January 2020. Pia wizara ina muongozo wa risk ila sijui kwa nini haukufutwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndukidi hayo mambo ya kupanikishana tuachane nayo, tuweke mikakati ya mass testing ila hakuna mambo ya kutoa taarifa, kwa sababu hatuna briefing ya HIV au Kisukari so why iwe COVID19???? Kwanini tukopy kila kitu?

Je kuna umuhimu wa kutaja maambukizi ya malaria? Cancer??? Au kuna umuhimu wa kutaja vifo vya malaria??? Nadhani mikakati ya kujikinga ni bora zaidi. Tuungane kumpongeza Waziri Ummy kwa hatua aliyochukua
Seriously! huoni umuhimu wa kutoa taarifa za Covid-19.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipige ngumi ukuta..wenye mawazo hayo ni haki yao ila wapotezee.

Turudi kwenye mada, Huu ni ugonjwa wa mlipuko tofauti na magonjwa mengine.
Suala la kujua idadi ya walioambukizwa ni la muhimu sana ili kuiwezesha serikali kujua namna ya kukabiliana nao.

Pia wananchi watahamasika kuongeza bidii katika kujihadhari.

Toeni takwimu ya walioambukizwa na pia ni maeneo gani yameshambuliwa zaidi. Hii itatusaidia tunaoishi vijijini kuweka umakini zaidi kwa wageni wanaotoka maeneo hatarishi
Upo sahihi kabisa mkuu. Tangu serikali isitishe kutoa updates za maambukizi mapya, vifo na waliopona COVID-19 jitihada za kujikinga zimepungua sana miongoni mwa wananchi kwa kudhani ugonjwa umepungua. Taarifa sahihi na uwazi ni nyenzo muhimu sana katika mapambano dhidi ya janga hili.
 
Sawa tuendelee kuwasikiliza mange na kigogo.
Alafu tuone mwisho wa siku itakuwaje.
Sasa ulidhani watamsikiliza nani huku amiri jeshi mkuu aliepaswa kuongoza mapambano amejificha kijijini. Serikali inaficha habari. Hakuna kitu kinachoendelea huku ndugu zetu wanazikwa kimya kimya usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye namba 8 ni safi sana. Tuendelee kutumia mitishamba na kujifukiza kwa steam ya 100 degree Celsius.
 
Wewe ni mjinga tu. Mmeleta siasa kwenye maisha ya watu matokeo yake ndio haya sasa watu wanapukutika kama kuku wa kideri 🤦‍♂️🤦‍♂️😡
Usipindishe maada mkuu, jadili kilichopo mbele.
 
Ndukidi

Je kuna umuhimu wa kutaja maambukizi ya malaria? Cancer??? Au kuna umuhimu wa kutaja vifo vya malaria??? Nadhani mikakati ya kujikinga ni bora zaidi. Tuungane kumpongeza Waziri Ummy kwa hatua aliyochukua

Kwani we hujaona umuhimu wa data? Loh!
Msomi gani we usiyejua umuhimu wa takwimu katika maisha ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom