Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

Haha muite afanye haraka kuweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani kwa kurukia hii issue, trust me ukiambiwa hivyo jua kweli kuna wadau wana mafaili yako ambayo ukiwekewa hadharani utashangaa ilikuwaje.

Wewe kama una smartphone au PC yenye web camera kuwa mpole tu, wote maisha yetu ya faragha yapo wazi kabisaaa.

Kama unamiliki simu yoyote hata ya kitochi ujue kuna jambo ambalo usingependa watu wasio kusudiwa wasisikie linaweza kuwafikia wakasikia.

Take care my sister, ikilazimu kipindi hiki cha janga la COVID-19 jishushe tu ukipewa onyo, ni afadhali aibu ya kuwa mpole kuliko wakiamua kukulipua.
 
Weka wewe kama unayo au mpenyezee pm aje aweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka wewe kama unayo au mpenyezee pm aje aweke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu mimi kuwa nayo hiyo ondoa shaka kabisa.
Mimi sina ila nahisi wahusika wanayo hadi ya kwangu. Mimi sina rasilimali (resource) za kufanikisha zoezi gumu kiasi hicho.

BTW, huo ulikuwa ushauri tu mkuu wangu, wewe upotezee.
Uwe na siku njema.
 
Sie ndiyo tulishauri tukapingwa kwa vitendo, halafu ushauri tulioutoa (sorry waliotoa WHO) una hold water as we speak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu mimi kuwa nayo hiyo ondoa shaka kabisa.
Mimi sina ila nahisi wahusika wanayo hadi ya kwangu. Mimi sina rasilimali (resource) za kufanikisha zoezi gumu kiasi hicho.

BTW, huo ulikuwa ushauri tu mkuu wangu, wewe upotezee.
Uwe na siku njema.
Naona unamsupport na vitisho vyake vya kitoto ndio maana nimesema umsaidie na hayo mambo anayoyasema. Bahati mbaya sijawahi kufanya jambo lolote la aibu kama ni utambulisho wangu nadhani kila mtu ana utambulisho wake si ndio? Hakutakuwa na lolote la ajabu. Uwe na siku njema pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 6.
Nashauri wawekwe shule za jirani. Ni vigumu sana kumwambia mtu akajitenge nyumbani ili hali haijulikani aina ya nyimba (labda chumba na sebule na anaishi na wanafamilia), social interactions zinazomwandama, udhibiti, n.k.
Madarasa yaboreshwe kidogo kufaa kwa matumizi ya malazi.
 
Ilikuwa wazi ukisoma tu malalamiko ya watu mbali mbali na ukafanya ‘root cause analysis’ unaona shida ilipo hawa watu awakuwa wamejiandaa kupambana na hii hali kwenye resources wala training; na wengine tulishaona hili bila ya hata kuambiwa.

All I can say sehemu zingine za hizo solution bado zinaacha maswali kushinda mujibu.
 
You are a puppet with a shallow analysis
 
Namba 4 : Ni maiti mia ngapi mmezika bila kuwajulisha ndugu zao ?
 
Serikali nzima haistahili pongezi ila lawama toka mwanzo. Haikuchukulia maanani ugonjwa huu toka mwanzo na kufunga mipaka ya abiria na kuzuia ndege toka nchi zenye korona.

Ummy alitupotosha na kusema Barakoa ni kwa ajili ya wenye virusi tu, Makonda akasema haiambukizwi kwa pumzi lol.

Wanafanya siri nani ana korona wakati ni kinyume kabisa cha matakwa yake kwa sababu lazima watu wajue korona iko wapi na nai ili kujiepusha.

Hakuna kiwanda cha Barakoa Dar kwenye kitovu cha gonjwa hili, halaf wanatulazimisha kuzivaa wakati kuna kiwanda kimoja Mbeya, kilichofunguliwa wiki iliyopita eti na CCM.

Kikubwa zaidi wanafanya Korona ni jambo la kisiasa na kuweka uchumi mbele kabla ya Afya, kijinga hawajui Afya ya watu ndiyo chanzo cha uchumi.

Serikali imeshindwa kabisa kupambana na korona na huu ni mwanzo tu, Korona itatutafuna sana kwa sababu ya uzembe wa serikali, itafika kipindi watu wataogopa kufanya kazi kabisa na uchumi kufa kabla ya uchaguzi.

Eti inasema Korona haingii kanisani, kwani kanisa ni nini? Wametuonyesha ujinga wao na jinsi wasivyofaa kuongoza nchi wakati wa majanga, rais anafikiria kodi tu za kulipa wanasiasa mishahara na kulipia ndege alizokopa kiuholela.
 
Ili tuweze kuwaamini na dunia nzima ijue
[emoji975]Wangapi walipimwa?
[emoji975]Wangapi hawana maambukizi
[emoji975]Wangapi wameambukizwa ( kimkoa na Wilaya)
[emoji975]Wangapi wamefariki?
[emoji975]Kwanini mnazika usiku?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini tusikae kimya tu na kuwaachia matabibu waendelee na majikumu yao kama wanavyotibu cancer, HIV, TB, Malaria nk,? Ukinijibu basi najiondoa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamin watanzanua wachache Ni wajinga na wapumbavu kupita kiasi!!!!Wizara na madaktari wametoa mkakati wa kukabiliana na Corona. Jinga Fulani linakuja na kejeli zake. Kwa hiyo tubeze jitihada za Wizara tukufuate mawazo yako? Lipi jema kwenu jamani? TUWAUNGE MKONO MADAKTARI NA WIZARA. Kama ungejua shughuli ya kuuguza mgonjwa ndo ungepata picha na kuwaonea huruma watumishi HAWA. MADAKTARI NIWATIE MOYO Kuna majitu kazi yao kukosoa tuuu.Pigeni kazi
 
Sounds all good to me. Sasa maamuzi hayo yamefanywa na wataalamu wa kada ya Afya watu humu wana-panic. Kila mtu achukue tahadhari kwa kadri ya nafasi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…