BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Rangi ya njano Ndiyo rangi pekee macho Yako inaiona vizuri
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.
Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?
Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
Kwenye Branding and Marketing strategy hayupo sahihi hususani kwenye tukio la leo.Jezi inakusaidia nini?
Kikubwa anatoa burudani kwa wananchi.
Ukitaka maonesho ya kuvaa jezi nenda kwa Mangungo
Basi ndugu muhandisi usiondoke tunakutegemeaMsinipangie au niondoke zangu
Hii yote ni kutaka uonekane tofauti, anamuiga boss kubwa GSMMwenyewe nilijiuliza why kafanya hivi atleast angevaa ya Argentina ili kumpa support kocha Gamond
Muwe na nidhamuBasi ndugu muhandisi usiondoke tunakutegemea
Nilivoona nilishangaa sana but ndo hivyo anatupatia raha sa tutafanyaje.KazinguaKwenye Branding and Marketing strategy hayupo sahihi hususani kwenye tukio la leo.
Rais ndio nembo na kielelezo namba moja ya klabu ama nchi, sasa kwanini aamue kuleta utambulisho wa timu nyingne?
Hakuwa sahihi kwa asilimia 100 kwa vazi lile siku ya leo.
Haha, nimekuelewa mkuu tatizo anafanya 'USELA' kwenye baadhi ya mambo.Nilivoona nilishangaa sana but ndo hivyo anatupatia raha sa tutafanyaje.Kazingua
Hata mimi sikufurahia, hasa ukizangatia kuwa Gamondi ni raia wa Argentina ambao ni wapinzani wa jadi wa Brazil kimpira. Yaani alsindiwa kupata T-shirt ya Ubingwa wa mara 30?
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.
Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?
Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.