Hongera Yanga na Hongera Eng. Hersi Ila leo umezingua

Hongera Yanga na Hongera Eng. Hersi Ila leo umezingua

Ulaya ma rais wa team, wamiliki unakuta wamevaa suti wametupia skafu tu hawavai majezi n.k, tajiri wa Chelsea anaingia amekula jeans kachomekea shati tu la kawaida ila bado mnaona sawa, jamaa kavaa ya njano kisa ya Brazil imekuwa nongwa? Wabongo noma.
 
Hata mimi sikufurahia, hasa ukizangatia kuwa Gamondi ni raia wa Argentina ambao ni wapinzani wa jadi wa Brazil kimpira. Yaani alsindiwa kupata T-shirt ya Ubingwa wa mara 30?
Yaani sijui hata kawaza nini jamaa. Ujuaji umemzidi leo
 
Nadhani alikua na nafasi mbili Leo,kama kiongozi wa yanga,pia na mualiko wa cheo chake kile kingime ,kama kiongozi kwenye soka la Africa,Kwa hiyo aliwakilisha na timu nyingine,Kwa hiyo akaona haitakua busara kuvaa full yanga,kofia tu imetosha,ni mtazamo tu
 
Ulaya ma rais wa team, wamiliki unakuta wamevaa suti wametupia skafu tu hawavai majezi n.k, tajiri wa Chelsea anaingia amekula jeans kachomekea shati tu la kawaida ila bado mnaona sawa, jamaa kavaa ya njano kisa ya Brazil imekuwa nongwa? Wabongo noma.
Hatuko ulaya acha kutetea mambo ya ajabu. Ni rais wa Yanga so kwakuwa aliamua kuvaa jezi alipaswa avae ya Yanga kinyume na hapo angevaa hata suti atleast. Sasa kama rais huwezi kuvaa jezi ya timu yako inabeba ubingwa wa 30 shabiki utampanga vipi ainunue hii jezi?
 
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.

Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?

Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
Hamnaga jema walimwengu Ni Bora wali nyama vitani kuliko walimwengu.....
 
Hatuko ulaya acha kutetea mambo ya ajabu. Ni rais wa Yanga so kwakuwa aliamua kuvaa jezi alipaswa avae ya Yanga kinyume na hapo angevaa hata suti atleast. Sasa kama rais huwezi kuvaa jezi ya timu yako inabeba ubingwa wa 30 shabiki utampanga vipi ainunue hii jezi?
Tafuta exposure mkuu, acha kukaa kimasikini na kuhangaika na vitu havina msingi kama mavazi, kitu kidogo sana ku compare na ushindi / mafanikio ya team.
 
Labda awe anatuma ujumbe wa Usajili. Laa ameboronga kinyama. Mimi ninasubiri utambulisho wa striker kutoka Premier League ya Brazil, ili nimsamehe.
 
Na hizi ndio akili za mashabiki wengi wa yanga, yani mtu anaacha kushangilia ubingwa, analalama vitu vidogo eti raisi hajavaa jezi ya timu
 
Hatuko ulaya acha kutetea mambo ya ajabu. Ni rais wa Yanga so kwakuwa aliamua kuvaa jezi alipaswa avae ya Yanga kinyume na hapo angevaa hata suti atleast. Sasa kama rais huwezi kuvaa jezi ya timu yako inabeba ubingwa wa 30 shabiki utampanga vipi ainunue hii jezi?
Mbona mashabiki tumeinunua bila huyo rais kuivaa. Mashabiki hatuitaji kupangwa. Rais hata asipovaa sisi tumenunua
 
Asubirie simba icheze na Orlando pirates avae jezi zake.
 
Hiyo ni ishu moja ndogo sana na wala haina maana kuletwa hapa. It's totally nonsense.
 
Back
Top Bottom