mwalimu lyapongoka
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 173
- 207
Hawakumpuuza Zitto hawakumwelewa kabisa watanzania bado ni wajinga sana ndugu yangu standard of speech is valued btn jpm and kabwela watz wa vijijin ni mzigo mkubwa katika ukombozi wa taifa mpk batsman tupitishe kura za maoni tuigawe hii inji tz iwe ni kwny majiji na miji vijijin kote taifwa lengineBangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa