kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
Zito kichwa kingine jitaidini labdaaa mnaweza kumpata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahha angalia dafu litakudondokeaNichukue fursa hii kumpongeza mhe Zito Z. Kabwe mbunge wa kupitia ACT wazalendo kwa kuwa mjanja kuwakwepa Polisi baada ya mkutano huko Isagehe Kahama Shinyanga. Kuna mambo machache ya kujiuliza kama sio wewe walikulenga kwa nini polisi wafanye hivi???
1. Polisi kuja na Defender nne zikiwa na polisi wakiwa wamejaa kuja eneo ulipokuwepo. Swali je kulikuwa na tukio la ujambazi??(maneno haya kayasema dereva wake)
2. Kusingizia Gari haina vibali, unajiuliza gari ilipita kote huko bila kuzuiliwa kwamba haina vibali?? Huo nao ni usanii kwa nini akamatiwe kwenye kampeni tuu na sio kuitwa aende tuu kituoni?? Kuna jambo nyuma ya pazia
3. Kuandikishwa maelezo mara mbili, mtakumbuka dereva anasema maelezo mara mbili na kesho yake kuachiliwa. Tatizo sio gari ni wewe Kabwe ulikuwa ukisakwa.
4. Polisi wanasema walipewa Taarifa kuwa gari ina vibali ambavyo sio halali swali, je leo ndio wanajua kuwa gari alilopanda Zitto lilikuwa na vibali ambavyo sio halali?? Narudia tatizo sio gari ni wewe ulikuwa ukisakwa.
Sababu mojawapo ni ukweli uliousema kwenye kampeni kuhusu kauli za Mtukufu kama "Mwafwaa" "serikali yangu haitoi chakura(alisema chakura sio chakula" ) Nikupongeze saba Zitto Kabwe nakumbuka uliwahi sema Mwaka jana kuwa Polisiccm wasiwe wanavizia kukukamata bila ya hivyo utawatoa knockout na hawataweza. Bali watumie taratibu kamili za kukuhoji na kukuita inapobidi.
Natafakari nikiwa chini ya Mnazi Mwafwaa
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
Marko 7:18-19 ...je hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtukutoka njehakiwezi kumtia najisi, kwa maana hakimwingii mouoni, ila tumboni na baadae hutolewa nje chooni?....Si kweli, mpinzani mkubwa wa kitimoto ni huyu bibilia, bishana naye:
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Well saidBangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Sasa Zito atakimbilia wapi huko US bwaba Triump amesema hawataki wakimbizi tena wa dini fulani labda aende huko anakopewa misaada ya fedha lakini yule mama nae haelewekiNimesomaaaaaa ila sijakuelewa we lichadema!
Alitonywa tu unafikiri wote wanapenda haya mambo? cha ajabu mkuu ameingia Ikulu kupia CCM ambacho ni chama cha siasa chenye siasa za fitina, kejeli na matusi lakini anashindwa kuhimili maneno ya wanasiasa. Hii ni ajabu ya karne. Hivi huwa anajifikiria kuwa yeye ni tofauti na binadamu wengine?Pongezi kwake mzee wa machale...
Bila shaka kitu alichokivaa kilibana mara baada ya Polisi kuanza kumzengea ndio maana akajikataa mapema.
.TUME YA UCHAGUZI IMECHAGULIWA NA MWENYEKITI WA CCM UNATEGEMEA NN?Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Marko 7:18-19 ...je hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtukutoka njehakiwezi kumtia najisi, kwa maana hakimwingii mouoni, ila tumboni na baadae hutolewa nje chooni?....
kama ulivyojiandika tatizo unaleta mipasho na taarabu jamii forum na kutafuta sifa za kijinga post zako nyingi unajifanya mjuaji sana uonekane jamii forum kama wewe unajua sana kuna watu zaidi yako humu mtu makini anajulikana kwa michango yake safi.
cc: mshana jr.
= kwambaUkweli ni kwaba nnajuwa mengi sana kuliko unavyofikiria.
Unataka niwe na akili za Kitanzania za kujisifu kutokujuwa?
Sikufundishwa hivyo, nilifundishwa niwe "very proud of myself".
Ukweli ni kwaba nnajuwa mengi sana kuliko unavyofikiria.
Unataka niwe na akili za Kitanzania za kujisifu kutokujuwa?
Sikufundishwa hivyo, nilifundishwa niwe "very proud of myself".