Tetesi: Hongera Zitto Kabwe kwa ujanja, ilipangwa Upotezwe

Nichukue fursa hii kumpongeza mhe Zito Z. Kabwe mbunge wa kupitia ACT wazalendo kwa kuwa mjanja kuwakwepa Polisi baada ya mkutano huko Isagehe Kahama Shinyanga. Kuna mambo machache ya kujiuliza kama sio wewe walikulenga kwa nini polisi wafanye hivi???

1. Polisi kuja na Defender nne zikiwa na polisi wakiwa wamejaa kuja eneo ulipokuwepo. Swali je kulikuwa na tukio la ujambazi??(maneno haya kayasema dereva wake)

2. Kusingizia Gari haina vibali, unajiuliza gari ilipita kote huko bila kuzuiliwa kwamba haina vibali?? Huo nao ni usanii kwa nini akamatiwe kwenye kampeni tuu na sio kuitwa aende tuu kituoni?? Kuna jambo nyuma ya pazia

3. Kuandikishwa maelezo mara mbili, mtakumbuka dereva anasema maelezo mara mbili na kesho yake kuachiliwa. Tatizo sio gari ni wewe Kabwe ulikuwa ukisakwa.

4. Polisi wanasema walipewa Taarifa kuwa gari ina vibali ambavyo sio halali swali, je leo ndio wanajua kuwa gari alilopanda Zitto lilikuwa na vibali ambavyo sio halali?? Narudia tatizo sio gari ni wewe ulikuwa ukisakwa.

Sababu mojawapo ni ukweli uliousema kwenye kampeni kuhusu kauli za Mtukufu kama "Mwafwaa" "serikali yangu haitoi chakura(alisema chakura sio chakula" ) Nikupongeze saba Zitto Kabwe nakumbuka uliwahi sema Mwaka jana kuwa Polisiccm wasiwe wanavizia kukukamata bila ya hivyo utawatoa knockout na hawataweza. Bali watumie taratibu kamili za kukuhoji na kukuita inapobidi.

Natafakari nikiwa chini ya Mnazi Mwafwaa
Wanaotumia defender ni ccm.

Anae mtafuta zitto akamuulize Mudhiri Mudhihiri aliepata kuwa mbunge wa mchinga., amesalimu amri now kaamua kuwa mtu wa swala tano.
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa

Wewe ndio mvuta bangi mkubwa, kwa nini usijadili mada? hukumu ipi unaotarajia JMP apewe wakati mnasaidiwa na polisi pamoja na tume ya ccm. hivi una akili wewe?
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Wapinzani wanapuuzwa kwa kufuatwa na defender nne zimejaa maaskari.

Mwafaaa anatia aibu duniani
 
Huwa nashangaa sana mtu kaleta mada kwa mjadala, lakini anatokea mwanamilembe au wanamilembe badala ya kujadili meda iliyoko mezani, wao hujadili
1. Kazi ya mleta mada
2. Itikadi ya mleta mada
3. Marafiki wa mleta mada
4. Avatar ya mleta mada
5. ID ya mleta mada
Etc etc
Meda=Mada
 
Yaani Zito bado anasumbua watu, huyu jamaa kakimbia, maana ameshidwa kulipa mpuga aliokopa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aibu! Ameon bora asepe safi sana JPM uzi ndio huo huo kaza kabisa asichomoke ntu. Pesa za dili kwishney.
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Wanaotangaza matokeo ya kura ni watu gani km si wakurugenzi ambao wanacheck maslahi ya CCM?
 
Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
Duh
 
Si kweli, mpinzani mkubwa wa kitimoto ni huyu bibilia, bishana naye:

7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Ujui maandiko we we kaa kimya
 
Aliwahi kuwachimba biti CDM akisema "chacha died,I won't...atakayenigusa, kwao hata panya hawatabaki"
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Uwezo wako ni mdogo sana .
 
Back
Top Bottom