Tetesi: Hongera Zitto Kabwe kwa ujanja, ilipangwa Upotezwe

Tetesi: Hongera Zitto Kabwe kwa ujanja, ilipangwa Upotezwe

Muda mwingine huwa najiuliza "huwa anawatorokaje?"
Mpaka leo sijapata jibu ila nasikia tu katoroka!
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Hukumu walimpa ingawa hukuiona. Kata zaid ya 8 kura za wapinzani n nyingi kuliko ccm, ingawa hawakushindai
 
Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
Ndivyo mlivyozoea mkimtaka mtu mnamuua tu
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa

Yawezekana hujitambui,hivi kama mnajiamini kuwa mnauwezo wa kushinda hizo chaguzi zenu za kipuuzi kwa nini msiweke mazingira ya usawa kwa kuanzisha tume huru ya uchaguzi badala ya kuwatumia wakuu wa wilaya na mikoa kama wasimamizi wa uchaguzi?

Yani uchaguzi uitishe wewe,uusimamie wewe,kura uhesabu wewe,matokeo ujumlishe na kuyatangaza wewe na ujitangaze umeshinda halafu ujisifu kuwa unakubalika!Ni wafu tu waliolala chini ya futi sita ndiyo wanaoweza kuungana na wewe kukata viuno vya kushangilia ushindi wa kizushi,Mwenye akili atabaki anakutazama tu jinsi unavyojitekenya na kucheka mwenyewe.Kweli nchi hii ina misukule mingi.

Ni mpumbavu pekee awezaye kusimama hadharani na kusema ccm imeshinda kwa kishindo katika uchaguzi wa kisanii unaisimamiwa na makada wa chama chini ya ulinzi wa policcm.
 
HALAFU MPUMBAGULUFU MMOJA ANAANDIKA UZI ANAANDIKA "MBONA WAPINZANI SIKU HIZI WAMEPOTEA, HAWASIKIKI KBSA NA INAONEKANA WAMESHINDWA SIASA"
Kwa hali hata mm nitakaa kimya sbb na mm pia nina damu na nyama kibaya zaid unapigwa fine kuanzia milion 7+
KUNA WATU IQ YAO NDOGO. KWA JINS POLISISISIEM WALIVYONAUCHU HIVYO
 
Kajisome.

kama ulivyojiandika tatizo unaleta mipasho na taarabu jamii forum na kutafuta sifa za kijinga post zako nyingi unajifanya mjuaji sana uonekane jamii forum kama wewe unajua sana kuna watu zaidi yako humu mtu makini anajulikana kwa michango yake safi.

cc: mshana jr.
 
Siku atakapouwawa Mpigania hakk yeyote Tanzania? Hata ikibidi Kuogelea across Atlantic na Indian Ocean Nitafanya hivyo. Kwa Maana waafrica ni Kama Madictator wamewalisha Libwata! Why is it so that we watch them Raping our Freedom and dignity? It is not as if the live in the Neptune! Why we let them rom arround with impunity? One Day Afrjca will wake Up!
 
kama ulivyojiandika tatizo unaleta mipasho na taarabu jamii forum na kutafuta sifa za kijinga post zako nyingi unajifanya mjuaji sana uonekane jamii forum kama wewe unajua sana kuna watu zaidi yako humu mtu makini anajulikana kwa michango yake safi.

cc: mshana jr.
Achana naye, Hawa ni wale wanaoshabikia siasa kama Sports! On my side Hapendwi Mtu! Kama Kiongozi akiheshimu Haki Uhuru na Katiba I don't care chama chake! I was prepared to hold my nose and accept Magufuli after the Raped elections of 2015, But what this Idiot did to the Freedom and the Constitution of Tanzania, His stinking hypocrisy, Made me to extremely despise him. I can describe him with one word, USELESS!
 
Wapo Polisi baadhi wana roho nzuri na Utu wanakerwa na Ukandamizaji Demokrasia,hao ndiyo huwapigia Simu wanasiasa juu ya mbinu za kuwafanyia unyama mapema ndipo husepa haraka kabla hawajafika kukamatwa.
Hao sio Polisi Wema ni Polisi waasi ndani Jeshi na ni hatari sana kuwa na Polisi wa aina hiyo.

Na adhabu yao huwa ni kifo kwa baadhi ya nchi kwa kutoa siri za Jeshi kwa mhusika na mission kutotekelezeka.
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Tatizo mna take advantage ya ujinga na umbumbu wa watanzania! Mzungu alijua waafrika ni wajinga na angeweza kututawala miaka mingi sana lakini aliona ni bora utupatie elimu ili atawale Watu wanao jitambua kuliko kutawala maamuma! Ccm Leo hii mnafurahia kupata kura za wajinga! Shame. Hakuna msomi anaweza kumchagua mgombea wa CCM.
 
Hahahahahahahaaaaa saafi kabisa, kwahio jamaa wamesimama na naniliu zao jamaa akawatoka
 
Na hao askari "wenye roho nzuri" ndio hatari sana kwa viongozi wakandamizaji. Huwa wakichoka na tabia hizo mbaya wanageuka kama yule CDF wa Gambia
Ya Gambia na Tanzania wapi na wapi? Unalinganisha vitu visivyofanana wala kulingana. Bavicha mnahitaji ukombozi wa kifikra
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
We unafikiri wananchi wanyonge watatoa hukumu gani?
Na hiyo serekali ingekuwa imewapuuza wapinzani wasingekua wanahaha na madefender usiku na mchana roho zimewasimama hawali hawalali.
 
Ya Gambia na Tanzania wapi na wapi? Unalinganisha vitu visivyofanana wala kulingana. Bavicha mnahitaji ukombozi wa kifikra
Ulitaka tulinganishe Tanzania na wapi? Korea kaskazini?
 
Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.

Mmemshindwa yule dada kwa jina la Mange Kimambi mwanamke, sembuse Zito mwanaume?

Wewe ndiye mjinga 100×.....fikiri kwanza kabla ya kuandika!!
 
Back
Top Bottom