Tetesi: Hongera Zitto Kabwe kwa ujanja, ilipangwa Upotezwe

Tetesi: Hongera Zitto Kabwe kwa ujanja, ilipangwa Upotezwe

Si kweli, mpinzani mkubwa wa kitimoto ni huyu bibilia, bishana naye:

7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu

Lakina kuna mjomba wako akasema kipindi cha njaa kolani ipo silent kwenye issue yaku tafuna nguruwe kwanza ni she.he kabisa sasa mbona mnazingua....insa.ne
 
Issue ya Zitto sio ya Kisiasa ni issue ya kumiliki gari isiyo na nyaraka toshelezi za Umiliki , sio kila Jambo ligeuzwe la Kisiasa
Kawadanganye wanao habari hii,
Zitto alikuwa anasakwa yeye sio gari, maelezo ya kamanda kuwa gari ilikuwa na document fake, maelezo ya dereva gari ilikuwa na document halisi,
Kama document zilikuwa fake waliachia kwa lipi?
Na wakati wanakwenda kulikamata gari kwanini wamuulize zitto na walimsubiri Muda mrefu, mpaka walipogundua jamaa kishatoweka Ndio wakalichukua gari, uvccm mlitakiwa muhamie milembe tu
 
Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
why should we take it from you who are you by then???
 
Huwa nashangaa sana mtu kaleta mada kwa mjadala, lakini anatokea mwanamilembe au wanamilembe badala ya kujadili meda iliyoko mezani, wao hujadili
1. Kazi ya mleta mada
2. Itikadi ya mleta mada
3. Marafiki wa mleta mada
4. Avatar ya mleta mada
5. ID ya mleta mada
Etc etc
Ndio ujinga wa vijana siku hizi achana nao wangejua siko mlengo wa kichama ila mie mpenda demokrasia
 
Ikiwa hizo ndiyo tafakuri za mnazi wa upinzani chini ya mnazi, sina budi kusema, upinzani hakuna Tanzania hii.

Mtu badala ya kuja na mambo mbadala, yeye anakuja kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Punguani wahed.
Ukisema hamna upinzani Tanzania unaakili wewe nakuuliza imemaliza period ama??
 
Zitto mwenyewe "system".

Kipindi hiki Zitto ndie mpinzani pekee anayeonekana kuwa imara na mwenye hoja thabiti anayeikosesha serikali usingizi.
Rejea hoja ya upungufu wa chakula ambayo serikali inaikana.
 
Hatukuruhusiwa.

Kuokoa maisha.

Ahsante sana.

1018eb592b9e83e72afd64b0c8e14a68.jpg
 
Wananchi wapi? Wananchi wa gani walitoa hukumu? Yaani uchakachuaji uliogubikwa na ubabe wa polisi pamoja na Rushwa unaita ni ni hukumu ya wananchi? Yaani wananchi wameshiriki kuiba kura?
Yaani kila siku mnaibiwa nyinyi tu, sasa kwanini mnashiriki, si muache tu , sasa kule babati kwanini hamkuibiwa?, mjitathmini nyinyi watu ndio mnapotezwa hivyo, si unaona mipango ya magufuli jijini Dar?, sasa unafikiri 2020 mkiendelea na kufunuana mtapata kitu kweli?
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Wa kupuuzwa ni wewe leteni tume huru ya uchaguzi muone...... mgombea wa ccm, msimamizi ccm (wakurugenzi)..... usidhani watz wote ni wajinga.... unashiriki fainali za mashindano ambapo refa na wasaidizi wake wote, polisi wanao simamia usalama ni wa timu pinzani na ufurahie ushindi huo? .... osheni mokono yenu muwe wasafi.....
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea
 
Pongezi kwake mzee wa machale...

Bila shaka kitu alichokivaa kilibana mara baada ya Polisi kuanza kumzengea ndio maana akajikataa mapema.
Haha! Fafanua mkuu, hicho kitu kilichobana ni nini? Maana sio kila MTU ataelewa ulimaanisha nini!
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Wapinzani sio watu was kuwapuuza maana ndio wanachallenge movement za viongozi lasivyo chama tawala wangejisahau
 
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Ni kweri kuwa wapuuzi siku zote hupuuza hoja za maana na badala yake madhara huwatokea baadae hata Mitume walipowaambia watu wao juu wokovu wapuuzi walipuuzia lakini majuto hayakuwasaidia hivyo hatoshangaa leo kuona watu wakipuza ukweri uliosemwa na Zitto Kabwe
 
Mungu mmoja tu, amma unamfata yeye amma unamfata shetani.

Aliyelianzisha kwa kuni beep hukumuona?

Ukinibeep nnakupigia, kumbuka hilo.

Vip mwisho kafanikiwa ?? Am Non partisan jua kwanza hilo with your green brain l believe you have negligible resistance to freedom of expression... Ukadharau thread lazima nikupe blank cheque. Insan.e
 
Back
Top Bottom