radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
= kwamba
Huko shule mlienda kusomea ujinga????
Au hayo unayoyajua ni ujinga mtupu
mkuu muonee huruma bibi tatizo anafanya mambo kwa mazoea ana akili za kimarekani si za kitanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
= kwamba
Huko shule mlienda kusomea ujinga????
Au hayo unayoyajua ni ujinga mtupu
Foolishness at work! Kwani alipita bila kupingwa?Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Wananchi wapi? Wananchi wa gani walitoa hukumu? Yaani uchakachuaji uliogubikwa na ubabe wa polisi pamoja na Rushwa unaita ni ni hukumu ya wananchi? Yaani wananchi wameshiriki kuiba kura?
Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
Mjinga kweli wewe kiazi.Acha ujinga Zitto wamuuwe kwa kitu gani nadhani hamuijuwi serikali ila mnajuwa kubashiri ya serikali. Wakimtaka wala hawatomtafuta. Wakitaka kummaliza wala huu ubashiri hautokuwepo ila atakuwa ameshamalizwa. Acheni hii mambo. Hili taifa linamazito zaidi ya huu ujinga hapa. Take it from me.
Si vema kubishana hata kwa kilicho dhahiri...kwa kuzingatia werevu wako...Ni nani aliyepewa ruhusa ya kutengua taurati?
Nnakushangaa wewe unaeingiza mdomoni najisi? Nguruwe umeshaambiwa ni najisi.
Hivi mkisoma hamuelewi?
Kazi kweli kweliCCM hatuhusiki na issue za zitto hivyo msiunganishe matukio
walitetea kata zao but chadema walitetea kata yao moja.kwa wenye akili wanajua kilichotokea ndo maama DC uyui kajiuzuru.Bangi hizi.....Hao wananchi walipoambiwa hayo maneno ni HUKUMU IPI waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo?????.......nadhani una ushaidi HUKUMU waliompa MAGUFULI kupitia hizi chaguzi ndogo hiyo ni thibitisho tosha ya kuwa walimpuuza ZITTO au kwa maana nyingne WAPINZANI NCHII HII ni wakupuuzwa
Hao Polisi waliomtonya Zito Kuwa Yule Mshenzi mpenda sifa alitaka Kumdhuru Mungu awabariki, Mimi Mshenzi atume watu Kuja Kuniua Nikijua Njama hiyo, Nitawalipa Mara Tano zaidi Wamnyanyue yeye kwa Upendo tu. Ni wajibu wa Kila mwanadamu hasa mwenye familia Kueliminate Dangerous Elements zinazotaka Kuwadhuru, Ndio Maana hata Wanyama Wengine Mungu akawapa hata Sumu Kujilinda. Wewe Unafikiri Wanyama Kama Nyoka, Nnge, Buibui etc sumu walijiumbia wao? No ni ya Kujilinda. Waafrika amkeni Katika Usingizi. Njia Pekee ya Kuzuia Wizi wa Kura ni Kumjulisha Loud and Clear Kuwa Ukipokonya Madaraka hasa ya Urais Labda tu Shetani waje Kutoka Kuzimu Kukulinda hautakuwa salama. Na hata wanaoshinda Kihalali wakipuuza Katiba na Utawala Wa sheria Kama anavyofanya Mpuuzi ambaye Mnamjua, Basi ahakikishiwe hatakuwa salama, Na hila zote anazojizungushia ati ili ashinde Uchaguzi Ujao, Ziwe hazina kazi kwani asipoheshimu Katiba na Utawala wa Sheria hana haki ya kuuona au Kushiriki Uchaguzi Unaokuja!Hao sio Polisi Wema ni Polisi waasi ndani Jeshi na ni hatari sana kuwa na Polisi wa aina hiyo.
Na adhabu yao huwa ni kifo kwa baadhi ya nchi kwa kutoa siri za Jeshi kwa mhusika na mission kutotekelezeka.
Subiri Tu, Super Volcano Ikilipuka hakuna msalia Mtume, Iko siku Washenzi wa CCM ( Sio CCM wote ni Wabaya) mtakuja Kujuta!Ya Gambia na Tanzania wapi na wapi? Unalinganisha vitu visivyofanana wala kulingana. Bavicha mnahitaji ukombozi wa kifikra
Acha kufikiria kwa kutumia mata..o hivi ww police kuja kumkamata kiongozi wa siasa mbele ya wananchi/wafuasi wake ni kupanga kumpoteza,acheni uzushi na uchochezi ...Mnaboa[emoji57] [emoji57]Pongezi kwake mzee wa machale...
Bila shaka kitu alichokivaa kilibana mara baada ya Polisi kuanza kumzengea ndio maana akajikataa mapema.
True factWapo Polisi baadhi wana roho nzuri na Utu wanakerwa na Ukandamizaji Demokrasia,hao ndiyo huwapigia Simu wanasiasa juu ya mbinu za kuwafanyia unyama mapema ndipo husepa haraka kabla hawajafika kukamatwa.
Ha ha patamu hapo ungeendelea kumpenda tuu dikteta wenuAchana naye, Hawa ni wale wanaoshabikia siasa kama Sports! On my side Hapendwi Mtu! Kama Kiongozi akiheshimu Haki Uhuru na Katiba I don't care chama chake! I was prepared to hold my nose and accept Magufuli after the Raped elections of 2015, But what this Idiot did to the Freedom and the Constitution of Tanzania, His stinking hypocrisy, Made me to extremely despise him. I can describe him with one word, USELESS!
Acha kufikiria kwa kutumia mata..o hivi ww police kuja kumkamata kiongozi wa siasa mbele ya wananchi/wafuasi wake ni kupanga kumpoteza,acheni uzushi na uchochezi ...Mnaboa[emoji57] [emoji57]
Askari aliyekula kiapo cha utii na Akafanya jambo nje ya kiapo ... Akatoa siri za Jeshi kwa adui na mission ikawa incomplete huyo ni msaliti ndani ya Jeshi.Na baadhi ya nchi adhabu yao kifo bila kuchelewa.Hao Polisi waliomtonya Zito Kuwa Yule Mshenzi mpenda sifa alitaka Kumdhuru Mungu awabariki, Mimi Mshenzi atume watu Kuja Kuniua Nikijua Njama hiyo, Nitawalipa Mara Tano zaidi Wamnyanyue yeye kwa Upendo tu. Ni wajibu wa Kila mwanadamu hasa mwenye familia Kueliminate Dangerous Elements zinazotaka Kuwadhuru, Ndio Maana hata Wanyama Wengine Mungu akawapa hata Sumu Kujilinda. Wewe Unafikiri Wanyama Kama Nyoka, Nnge, Buibui etc sumu walijiumbia wao? No ni ya Kujilinda. Waafrika amkeni Katika Usingizi. Njia Pekee ya Kuzuia Wizi wa Kura ni Kumjulisha Loud and Clear Kuwa Ukipokonya Madaraka hasa ya Urais Labda tu Shetani waje Kutoka Kuzimu Kukulinda hautakuwa salama. Na hata wanaoshinda Kihalali wakipuuza Katiba na Utawala Wa sheria Kama anavyofanya Mpuuzi ambaye Mnamjua, Basi ahakikishiwe hatakuwa salama, Na hila zote anazojizungushia ati ili ashinde Uchaguzi Ujao, Ziwe hazina kazi kwani asipoheshimu Katiba na Utawala wa Sheria hana haki ya kuuona au Kushiriki Uchaguzi Unaokuja!
And that is not Too Much to ask, actually it is his responsibility To Defend freedom, Constitution and the Rule of Law. Hili halihitaji Gharama Yoyote, akishindwa Kujenga hospitali atasamehewa, akishidwa elimu Bure atasamehewa Lakini kushindwa Kutii haki za Wengine, na Kushindwa Kuheshimu Katiba iliyomwapisha! He need to change or be Potezwade!
Askari aliyekula kiapo cha utii na Akafanya jambo nje ya kiapo ... Akatoa siri za Jeshi kwa adui na mission ikawa incomplete huyo ni msaliti ndani ya Jeshi.Na baadhi ya nchi adhabu yao kifo bila kuchelewa.
Hakuna mjadala wala siasa ndani ya Ulinzi Dola.