Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Mbona hajamwarika phd au ndio alihic atakosoa kwenye swala la kubana matumizi
 
hongera kwake ingawa imekuwa ghafla mno na siri pia najua atapunguza kumatack mh. JPM kwa sasa
 
Au ndio kongamano la kiana kuwakwepa polisi,ok safi mzee kuacha ukapera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…