KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Dah.......🙂Itakuwa made in Europe.
Hongera na kila la heri katika maisha mapya ya ndoa!
Ya kidiniYa kidini au kiserikali lete habari kamiri
Mmh! Kwanini?Mmh mwenzangu huyo mwanamke sio wife material kaka zito utalia soon nakwambia
Mkuu warumi mbona unaendekeza ramli chonganishi? How did you know that she is not a wife material?is it by observing her physical appearance or what?if that been the case then let me advice you that you should not judge a book by looking on its cover aloneMmh mwenzangu huyo mwanamke sio wife material kaka zito utalia soon nakwambia
Hapana si hivyo mkuu,picha nyingi zilizoenea ni za baada ya kufunga ndoa,lakin alifunga ndoa kwa taratibu za dini ya kiislam,Je Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.
Au amekimbia kulisha watu ubwabwa
Kuishi: Dar. Hakuna hata kimoja cha Kigoma! Huko ni kufuata mavuno ya Ubunge, simple and period!Ubunge :kigoma mjini
Ndoa :Zanzibar
Nilidhani itafanyikia manyovu /kibondo
Safi sana, all the best zitto
Wewe kama nani?[emoji15]Hatari sana huyo bibi harusi,ila zzk hukunitendea haki kabisa,mi sio wa kukosa hiyo sherehe.
Huyu mtoto alisilimishwa kwanza ndio ndoa ikafuata..... ndoa ilifungwa 1before sherehe