Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Hatari sana huyo bibi harusi,ila zzk hukunitendea haki kabisa,mi sio wa kukosa hiyo sherehe.
 
Zitto utulie sasa umpe mtoto mkeo ikiwekana mwaka usiishe hivi hivi!
 
Mh Zito eenh kula taratibu hizi ni zako zabibu na utam wa nanasi wahitaji nafasi, kishkwambi hatari sana.
 
Huyu mtoto alisilimishwa kwanza ndio ndoa ikafuata..... ndoa ilifungwa 1before sherehe
 
Mmh mwenzangu huyo mwanamke sio wife material kaka zito utalia soon nakwambia
Mkuu warumi mbona unaendekeza ramli chonganishi? How did you know that she is not a wife material?is it by observing her physical appearance or what?if that been the case then let me advice you that you should not judge a book by looking on its cover alone
 
Nice...ivi pale magogoni huez kuingia ukiwa bachelor siyoo??
 
Je Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.

Au amekimbia kulisha watu ubwabwa
Hapana si hivyo mkuu,picha nyingi zilizoenea ni za baada ya kufunga ndoa,lakin alifunga ndoa kwa taratibu za dini ya kiislam,
 
Huyu mtoto alisilimishwa kwanza ndio ndoa ikafuata..... ndoa ilifungwa 1before sherehe

Angesilimishwa angeendelea kuitwa Anna?

Mi nadhani wamekubaliana Wafunge Ndoa ya Kiislam ila kila mmoja abaki na Imani yake. Maadhari ya sherehe yanathibitisha haya.

Tumeziona Sherehe nyingi za Kiislam

BACK TANGANYIKA
 
Ndio maana nilimuona Mzee Kabwe akiingia toka KGM na precision Jumatano, kumbe alikuwa anakuja kwenye harusi.
 
Back
Top Bottom