Hongereni CCM kwa uchaguzi wenu, watu wana hasira

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,802
Reaction score
4,459
Hasira za watu ziko hapa:-

1. Chama chenu kimetawala kutoka uhuru. Hivi mnaposema mmefanya maendeleo mnalinganisha na nani au chama kipi? Ninyi ni mapimbi lazima uwe na variable utonyeshe ni kwa ulinganifu upi utaonyesha kuwa kuna juhudi. Kinachowasaidia ni ajira za waliofeli kuingia idara ya polisi na hivyo amri yoyote inakuwa halali maana hawawezi kutafsiri.

2 Miaka mitano hakuna ajira wala kupanda mishahara. Lakini mnahitaji huduma bora, mnajisifu kwa kujenga hospitali nyingi na vituo vya afya. Ni ujinga kuweka miundombinu bila kuangalia wataalamu wa kufanya hiyo mapango yes ni mapango sababu ni makazi ya popo bila kuwa na wataalamu wa kundesha shughuli stahiki kwenye majengo hayo na mengi yao maana yamejengwa kifisadi yanahitaji ukarabati kabla hata ya kuanza kazi.

3. CCM hakuna demokrasia. Wajumbe walikuwa 164 (Tanganyika ni 129 na Zanzibar 35), kura zimepigwa matokeo ni kama ifuatavyo Hussein 129 (Tanganyika), Nahodha 16 na Khalid 19 = 35 hizo za Zanzibar. Kifupi Mwinyi amechaguliwa na Watanganyika sio Zanzibar. Atakataliwa mtatumia polisi kuleta vurugu kwa wazanzibar kama kawaida yenu miaka yote.

4. Unafiki mkubwa ni upigaji wa kura jana. Mnajua mwenyekiti wenu hakubaliki maana anawaburuza wanachama, akawamrisha mpige kura za wazi watu wakajengewa hofu ya kumkataa.

5. Wana CCM og hawana nafasi mbele ya wahamiaji. Hii ni hatari na ni nzuri kwa vyama mbadala hasa CHADEMA ambao wataona hakuna chaguo lingine zaidi ya kuungana na wananchi wazalendo wenye moyo safi kuikataa ccm na matendo yake yote hatimae tupate ukombozi.

Nitaungana na wazalendo wowote ambao by any means wapo tayari kwa hari na mali kuiondoa ccm madarakani.
 
Naomba wajione wasijifariji wakati injulikana kuwa chama lao halikubaliki
 
Sasa kama nyinyi wapinzani kila siku mananunulika.wananchi watawaamini vp kama nyinyi ni mbadala wa CCM?
 
Makatibu wakuu ambao ni watendaji wa chama wananunuliwa kwa thamani ya fedha ya kununulia biskuti!!?
Nyinyi mkipewa nchi si mtanunuliwa na mabeberu muwape rasilimali za nchi kwa rushwa ndogo mtakazopewa?
 
Hizo hela za Magufuri au za wananchi? Anapizitumia kununuliwa wapinzani badala ya kutoa huduma kwa wananchi wewe unaona sawa?
 
Hizi ni akili za wapuuzi tu kuamua kuisemea familia ya jirani eti inatumia mabavu ,kwani walio ndani ya familia wanamaoni gani?

Pambaneni na hali zenu amini nawaambia msipokuwa makini mwaka huu mkipata walau wabunge watano mkatambike.

Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kura

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kula

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wamebaki kulalamika tu wakati haiwasaidii lolote
 
Hasira za watu ziko hapa:-

1. Chama chenu kimetawala kutoka uhuru. Hivi mnaposema mmefanya maendeleo mnalinganisha na nani au chama kipi? Ninyi ni mapimbi lazima uwe na variable utonyeshe ni kwa ulinganifu upi utaonyesha kuwa kuna juhudi. Kinachowasaidia ni ajira za waliofeli kuingia idara ya polisi na hivyo amri yoyote inakuwa halali maana hawawezi kutafsiri.

2 Miaka mitano hakuna ajira wala kupanda mishahara. Lakini mnahitaji huduma bora, mnajisifu kwa kujenga hospitali nyingi na vituo vya afya. Ni ujinga kuweka miundombinu bila kuangalia wataalamu wa kufanya hiyo mapango yes ni mapango sababu ni makazi ya popo bila kuwa na wataalamu wa kundesha shughuli stahiki kwenye majengo hayo na mengi yao maana yamejengwa kifisadi yanahitaji ukarabati kabla hata ya kuanza kazi.

3. CCM hakuna demokrasia. Wajumbe walikuwa 164 (Tanganyika ni 129 na Zanzibar 35), kura zimepigwa matokeo ni kama ifuatavyo Hussein 129 (Tanganyika), Nahodha 16 na Khalid 19 = 35 hizo za Zanzibar. Kifupi Mwinyi amechaguliwa na Watanganyika sio Zanzibar. Atakataliwa mtatumia polisi kuleta vurugu kwa wazanzibar kama kawaida yenu miaka yote.

4. Unafiki mkubwa ni upigaji wa kura jana. Mnajua mwenyekiti wenu hakubaliki maana anawaburuza wanachama, akawamrisha mpige kura za wazi watu wakajengewa hofu ya kumkataa.

5. Wana CCM og hawana nafasi mbele ya wahamiaji. Hii ni hatari na ni nzuri kwa vyama mbadala hasa CHADEMA ambao wataona hakuna chaguo lingine zaidi ya kuungana na wananchi wazalendo wenye moyo safi kuikataa ccm na matendo yake yote hatimae tupate ukombozi.

Nitaungana na wazalendo wowote ambao by any means wapo tayari kwa hari na mali kuiondoa ccm madarakani.
Haki ikitendeka si rahisi ccm kushinga urais.
 
Makatibu wakuu ambao ni watendaji wa chama wananunuliwa kwa thamani ya fedha ya kununulia biskuti!!?
Nyinyi mkipewa nchi si mtanunuliwa na mabeberu muwape rasilimali za nchi kwa rushwa ndogo mtakazopewa?
Acha kujenga hoja za kitoto na kipuuzi! Hii nchi siyo Mali ya ccm ni ya watanzania wote na inapotokea genge la kihuni Kama ccm kuipora nchi na kuharibu demokrasia lazima kila mwenye ufahamu na uelewa akemee Hali hiyo!
Hao walionunuliwa unajua vitisho walivyokuwa wanapewa Hadi kutishiwa Maisha yao? Ona wanavyomsakama Mbowe ili akubali ujinga wao ndio utajua ninachomaanisha!
 
Mbona unajazba sana.siasa za bongo usikaze sana embu relax basi.
unaemfia na kumpigania leo kesho anahama chama.
acha uwongo wanaohama awahami kwa kutishiwa maisha,wanahama kwa njaa zao kujiuza kwa bei poa hasa viongozi kutoka Chadema.
 
Mm nawashangaa wapinzani wamechaambiwa uchaguzi wa mwaka huu kwa ccm bara kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani wasitegeme uchindi wa mezani wajipange kupambana na vyombo vya dola waache kulialia na kigogo2014 wa tweeter kishawaambia tume ya taifa wamekabithiwa usalama wa taifa sijui wasaidiwe vip
 
Kwa hali ilipofikia Moto utawashwa na ccm wenyewe na utaanzia kwenye vichaka vya pemba zanzibar kisha mbeya Arusha wakipokea Kwa karibu then nchi yote na hapo jiwe atageuka matope
 
Hizi ni akili za wapuuzi tu kuamua kuisemea familia ya jirani eti inatumia mabavu ,kwani walio ndani ya familia wanamaoni gani?

Pambaneni na hali zenu amini nawaambia msipokuwa makini mwaka huu mkipata walau wabunge watano mkatambike.

Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kura

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Chama cha wapuuzi ccm kikiongozwa na mwenyekiti mpuuzi,huku anawatawala wapuuzi watupu.
 
Hizi ni akili za wapuuzi tu kuamua kuisemea familia ya jirani eti inatumia mabavu ,kwani walio ndani ya familia wanamaoni gani?

Pambaneni na hali zenu amini nawaambia msipokuwa makini mwaka huu mkipata walau wabunge watano mkatambike.

Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kura

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
#NiYeye2020
 
Hasira za watu ziko hapa:-

1. Chama chenu kimetawala kutoka uhuru. Hivi mnaposema mmefanya maendeleo mnalinganisha na nani au chama kipi? Ninyi ni mapimbi lazima uwe na variable utonyeshe ni kwa ulinganifu upi utaonyesha kuwa kuna juhudi. Kinachowasaidia ni ajira za waliofeli kuingia idara ya polisi na hivyo amri yoyote inakuwa halali maana hawawezi kutafsiri.

2 Miaka mitano hakuna ajira wala kupanda mishahara. Lakini mnahitaji huduma bora, mnajisifu kwa kujenga hospitali nyingi na vituo vya afya. Ni ujinga kuweka miundombinu bila kuangalia wataalamu wa kufanya hiyo mapango yes ni mapango sababu ni makazi ya popo bila kuwa na wataalamu wa kundesha shughuli stahiki kwenye majengo hayo na mengi yao maana yamejengwa kifisadi yanahitaji ukarabati kabla hata ya kuanza kazi.

3. CCM hakuna demokrasia. Wajumbe walikuwa 164 (Tanganyika ni 129 na Zanzibar 35), kura zimepigwa matokeo ni kama ifuatavyo Hussein 129 (Tanganyika), Nahodha 16 na Khalid 19 = 35 hizo za Zanzibar. Kifupi Mwinyi amechaguliwa na Watanganyika sio Zanzibar. Atakataliwa mtatumia polisi kuleta vurugu kwa wazanzibar kama kawaida yenu miaka yote.

4. Unafiki mkubwa ni upigaji wa kura jana. Mnajua mwenyekiti wenu hakubaliki maana anawaburuza wanachama, akawamrisha mpige kura za wazi watu wakajengewa hofu ya kumkataa.

5. Wana CCM og hawana nafasi mbele ya wahamiaji. Hii ni hatari na ni nzuri kwa vyama mbadala hasa CHADEMA ambao wataona hakuna chaguo lingine zaidi ya kuungana na wananchi wazalendo wenye moyo safi kuikataa ccm na matendo yake yote hatimae tupate ukombozi.

Nitaungana na wazalendo wowote ambao by any means wapo tayari kwa hari na mali kuiondoa ccm madarakani.
Wanalinganisha na TANU na ASP.
 
Back
Top Bottom