Hizo hela za Magufuri au za wananchi? Anapizitumia kununuliwa wapinzani badala ya kutoa huduma kwa wananchi wewe unaona sawa?Makatibu wakuu ambao ni watendaji wa chama wananunuliwa kwa thamani ya fedha ya kununulia biskuti!!?
Nyinyi mkipewa nchi si mtanunuliwa na mabeberu muwape rasilimali za nchi kwa rushwa ndogo mtakazopewa?
Hela za chama.chama kina vyanzo vya mapato vya kutosha na vya uhakika.Hizo hela za Magufuri au za wananchi? Anapizitumia kununuliwa wapinzani badala ya kutoa huduma kwa wananchi wewe unaona sawa?
Wamebaki kulalamika tu wakati haiwasaidii loloteHizi ni akili za wapuuzi tu kuamua kuisemea familia ya jirani eti inatumia mabavu ,kwani walio ndani ya familia wanamaoni gani?
Pambaneni na hali zenu amini nawaambia msipokuwa makini mwaka huu mkipata walau wabunge watano mkatambike.
Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kula
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Haki ikitendeka si rahisi ccm kushinga urais.Hasira za watu ziko hapa:-
1. Chama chenu kimetawala kutoka uhuru. Hivi mnaposema mmefanya maendeleo mnalinganisha na nani au chama kipi? Ninyi ni mapimbi lazima uwe na variable utonyeshe ni kwa ulinganifu upi utaonyesha kuwa kuna juhudi. Kinachowasaidia ni ajira za waliofeli kuingia idara ya polisi na hivyo amri yoyote inakuwa halali maana hawawezi kutafsiri.
2 Miaka mitano hakuna ajira wala kupanda mishahara. Lakini mnahitaji huduma bora, mnajisifu kwa kujenga hospitali nyingi na vituo vya afya. Ni ujinga kuweka miundombinu bila kuangalia wataalamu wa kufanya hiyo mapango yes ni mapango sababu ni makazi ya popo bila kuwa na wataalamu wa kundesha shughuli stahiki kwenye majengo hayo na mengi yao maana yamejengwa kifisadi yanahitaji ukarabati kabla hata ya kuanza kazi.
3. CCM hakuna demokrasia. Wajumbe walikuwa 164 (Tanganyika ni 129 na Zanzibar 35), kura zimepigwa matokeo ni kama ifuatavyo Hussein 129 (Tanganyika), Nahodha 16 na Khalid 19 = 35 hizo za Zanzibar. Kifupi Mwinyi amechaguliwa na Watanganyika sio Zanzibar. Atakataliwa mtatumia polisi kuleta vurugu kwa wazanzibar kama kawaida yenu miaka yote.
4. Unafiki mkubwa ni upigaji wa kura jana. Mnajua mwenyekiti wenu hakubaliki maana anawaburuza wanachama, akawamrisha mpige kura za wazi watu wakajengewa hofu ya kumkataa.
5. Wana CCM og hawana nafasi mbele ya wahamiaji. Hii ni hatari na ni nzuri kwa vyama mbadala hasa CHADEMA ambao wataona hakuna chaguo lingine zaidi ya kuungana na wananchi wazalendo wenye moyo safi kuikataa ccm na matendo yake yote hatimae tupate ukombozi.
Nitaungana na wazalendo wowote ambao by any means wapo tayari kwa hari na mali kuiondoa ccm madarakani.
Acha kujenga hoja za kitoto na kipuuzi! Hii nchi siyo Mali ya ccm ni ya watanzania wote na inapotokea genge la kihuni Kama ccm kuipora nchi na kuharibu demokrasia lazima kila mwenye ufahamu na uelewa akemee Hali hiyo!Makatibu wakuu ambao ni watendaji wa chama wananunuliwa kwa thamani ya fedha ya kununulia biskuti!!?
Nyinyi mkipewa nchi si mtanunuliwa na mabeberu muwape rasilimali za nchi kwa rushwa ndogo mtakazopewa?
Mbona unajazba sana.siasa za bongo usikaze sana embu relax basi.Acha kujenga hoja za kitoto na kipuuzi! Hii nchi siyo Mali ya ccm ni ya watanzania wote na inapotokea genge la kihuni Kama ccm kuipora nchi na kuharibu demokrasia lazima kila mwenye ufahamu na uelewa akemee Hali hiyo!
Hao walionunuliwa unajua vitisho walivyokuwa wanapewa Hadi kutishiwa Maisha yao? Ona wanavyomsakama Mbowe ili akubali ujinga wao ndio utajua ninachomaanisha!
Chama cha wapuuzi ccm kikiongozwa na mwenyekiti mpuuzi,huku anawatawala wapuuzi watupu.Hizi ni akili za wapuuzi tu kuamua kuisemea familia ya jirani eti inatumia mabavu ,kwani walio ndani ya familia wanamaoni gani?
Pambaneni na hali zenu amini nawaambia msipokuwa makini mwaka huu mkipata walau wabunge watano mkatambike.
Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kura
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
#NiYeye2020Hizi ni akili za wapuuzi tu kuamua kuisemea familia ya jirani eti inatumia mabavu ,kwani walio ndani ya familia wanamaoni gani?
Pambaneni na hali zenu amini nawaambia msipokuwa makini mwaka huu mkipata walau wabunge watano mkatambike.
Hizi polojo zenu eti jpm anaendesha chama kwa mabavu hazitawapa kura
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wanalinganisha na TANU na ASP.Hasira za watu ziko hapa:-